Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Bora Msile ipunguwe Bei....maana Mtaan kwetu kilo ni 12elfu......ikifika elfu7 kwa kilo nitaila miaka miatano mfululizo.
 
Pamoja na kale ka mchezo kufundishwa pale na pamoja kukatazwa na dini zote lakini bado pale Al-Muntanzir nafasi za masomo zinajaa mapema sana.
 
Hata kabla hizi dini tulizoletewa na wenzetu Ukwel mchungu ni kwamba mababu zetu walikua wanakula hii ki2
 
Walio juu tusiwajue au ? Mi naona ulaji wa kila nyama ni dhambi kwakuwa una madhara kwa afya ya mwili na akili na kiroho pia. Mi nakula ila ukweli ndo huo.
Sawa.endelea kula najisi.Mimi sijakukataza.mbona hata yesu na mama take maria.walikuwa wanakula nguruweee.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
I won't stop eating pork there are so many factors which led to Rosemary's situation ie geographically factors,how frequent u eat it, how it is prepared etc

Nyama tamu hii balaaa
Eti eheee.kula mamaa.kwa raha zako[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sipendagi kabisa watu wanafiki kama wewe, umeshindwa nini kuweka kuanzia mstari wa 4?? Au unaogopa unafiki wenu kuumbuliwa??? Ngoja nikusaidie

"4 ‘Ila hiki ndicho ambacho hamtakula kati ya wacheuaji na wenye ukwato uliopasuka: ngamia, kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu.+ 5 Pia wibari,+ kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu. 6 Pia sungura,+ kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu.7 Pia nguruwe,+ kwa sababu ana ukwato uliopasuka naye ana mwanya kwenye ukwato, lakini yeye mwenyewe hacheui. Huyo si safi kwenu. 8 Msile yoyote kati ya nyama zao, wala msiguse mizoga yao.+ Hao si safi kwenu." (Walawi 11:4-8)

Mbona huyo huwa mnamla tena mnampigia dua kabisa kabla ya kumchinja?? Uache kutumia Biblia yetu kiujanja ujanja, namna hiyo katumie kwenye msaafu wenu.
Hofyo kabisa..!!!!
Sasa wewe.biblia yenu imewakata kula ngamia na nguruwe pia.sisi waislam hata tukila ngamia.ni sawa kwenye Quran hatujakatazwa.lakini ninyi kwenye biblia.mmekatazwa vyote.nguruwe na ngamia.sasa kwanini mle nguruwe peke yake.mkawaacha hao wengine?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ha ha haaa...bado sijapata logic kwamba kucheua kunahusianaje na kula ama kutokula nyama ya kitu fulani vipi kwani akicheua nyama yake inabadilika inakua sumu???...wajinga ndo waliwao. dini ni utumwa. utumwa wa kifikra ni hatari...
### TEAM WAFIA DINI ###
Ni vizuri ukamuuliza aliyeandika biblia.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii

==============

Late last summer, Rosemary Alvarez of Phoenix thought she had a brain tumor. But on the operating table her doctor discovered something even more unsightly -- a parasitic worm eating her brain.

Alvarez, 37, was first referred to the Barrow Neurological Institute at St. Joseph's Hospital and Medical Center in Phoenix with balance problems, difficulty swallowing and numbness in her left arm.

An MRI scan revealed a foreign growth at her brain stem that looked just like a brain tumor to Dr. Peter Nakaji, a neurosurgeon at the Barrow Neurological Institute.

"Ones like this that are down in the brain stem are hard to pick out," said Nakaji. "And she was deteriorating rather quickly, so she needed it out."

abc_brain_worm_081121_ms.jpg

Playnull

Yet at a key moment during the operation to remove the fingernail-sized tumor, Nakaji, instead, found a parasite living in her brain, a tapeworm called Taenia solium, to be precise.

"I was actually quite pleased," said Nakaji. "As neurosurgeons, we see a lot of bad things and have to deliver a lot of bad news."

When Alvarez awoke, she heard the good news that she was tumor-free and she would make a full recovery. But she also heard the disturbing news of how the worm got there in the first place.

Nakaji said someone, somewhere, had served her food that was tainted with the feces of a person infected with the pork tapeworm parasite.

"It wasn't that she had poor hygiene, she was just a victim," said Nakaji.

Pork Tapeworms a Small, But Growing Trend
"We've got a lot more of cases of this in the United States now," said Raymond Kuhn, professor of biology and an expert on parasites at Wake Forest University in Winston-Salem, N.C. "Upwards of 20 percent of neurology offices in California have seen it."

The pork tapeworm has plagued people for thousands of years. The parasite, known as cysticercosis, lives in pork tissue, and is likely the reason why Jewish and Muslim dietary laws ban pork.

Kuhn said whether you get a tapeworm in the intestine, or a worm burrowing into your brain can depend on how you consumed the parasite.

How Humans Get Worms

Eat the parasite in tainted meat and you'll end up eating the larvae, called cysts. Kuhn said in that case, a person can only end up with a tapeworm.

"You can eat cysts all day long and it won't get into your brain," said Kuhn. Instead, the larvae go through the stomach and mature in the intestine.

"When it gets down into their small intestine, it latches on, and then it starts growing like an alien," said Kuhn.

Once there, the tapeworm starts feeding and gets to work. A single tapeworm will release 50,000 eggs a day, most of which usually end up in the toilet.

"They can see these little packets pass in their feces," said Kuhn. "And ... sometimes people eat the eggs from feces by accident."

Kuhn said it is then feces-tainted food, and not undercooked pork, that leads to worms burrowing into the brain.

Unlike the cysts, the eggs are able to pass from the stomach into the bloodstream. From there, the eggs may travel and lodge in various parts of the body -- including the muscle, the brain or under the skin -- before maturing into cysts themselves.

According to Kuhn, who has traveled to study this parasite, cysticercosis is a big problem in some parts of Latin America and Mexico where health codes are hard to enforce and people may frequently eat undercooked pork.

As people travel across the border with Mexico for vacation and work, Kuhn said so does the tapeworm. One person infected with a parasite, who also has bad hand washing habits, can infect many others with eggs.

"These eggs can live for three months in formaldehyde," said Kuhn. "You got to think, sometimes, a person is slapping lettuce on your sandwich with a few extra add-ons there."

Getitng the Worms Out

Dr. Christopher Madden, an assistant professor in the University of Texas Southwestern department of neurological surgery in Dallas, has operated on a number of these cysts himself. He said not every worm needs to be surgically removed; those whose location is not an immediate threat to the patient's health can be treated with medications that cause the worms to die.

But when the cysts are in problematic locations, as was the case for Alvarez, an operation is necessary. Fortunately, the long-term prognosis for most patients is positive.

"Most patients we see actually do very well with medicines and/or surgery to take out a large cyst," Madden said.

Alvarez is not alone in accidentally eating tainted food, but Nakaji rarely sees cases so severe that people require surgery. Nakaji said he only removed six or seven worms in neurosurgery this year.

"But lodging in the brain stem is bad luck," he said.

Nakaji said other parts of the brain have more "room" or tissue to expand around a growing cyst. However the brain stem, which is crucial to life, is only the width of a finger or two.

"She could have recovered," said Nakaji. "But if the compression lasted for long enough, she could have been left permanently disabled or dead."

Source: ABC News
Zinaa hawaachi hata kama kuna UKIMWI..Drink and drive hawaachi hata kama kuna ajali.....Uchinjachinja hawaachi hata kama vitabu vimekataza kuuwa...hao wanaojiita WATAALAMU/WANASAYANSI wamekazania KITIMOTO tu ......Hebu tokeni hapa na uzushi wenu Kitimoto siachi na hayo maminyoo yenu ya kufikirika yatawapata wenyewe.....mdudu achomwe vizuri na Kitwanga za baridi pembeni???....Mshindwe ktk jina lililo juu ya majina yote ......
 
Zinaa hawaachi hata kama kuna UKIMWI..Drink and drive hawaachi hata kama kuna ajali.....Uchinjachinja hawaachi hata kama vitabu vimekataza kuuwa...hao wanaojiita WATAALAMU/WANASAYANSI wamekazania KITIMOTO tu ......Hebu tokeni hapa na uzushi wenu Kitimoto siachi na hayo maminyoo yenu ya kufikirika yatawapata wenyewe.....mdudu achomwe vizuri na Kitwanga za baridi pembeni???....Mshindwe ktk jina lililo juu ya majina yote ......
Kufanya dhambi kwa watu wengi hakufanyi yaliyokatazwa kuwa halali.dhambi IPO pale pale.na jehannam IPO pale pale.hata watu wote kuanzia Adam hadi wa mwisho kuumbwa.tufanye makosa.tutaingizwa jehannam woteee.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kwani nyama ya ng'ombe haina madhara?
mbona inaliwa,
mtu mmoja kupata tatizo inakuwa kama kigezo mabwege wengine bwana!
 
Niliwahi kukuta andiko kama hili mahali nikaacha . Sio nikaacha kula KITIMOTO , la hasha . Niliacha kuendelea kusoma .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji35]
 
kwani nyama ya ng'ombe haina madhara?
mbona inaliwa,
mtu mmoja kupata tatizo inakuwa kama kigezo mabwege wengine bwana!
Tunaangalia maandiko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom