Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Usipo kula Nguruwe huumwi?Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Hufi?
Usipo kula Nguruwe huumwi?Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Ukifatilia sana kisayansi na kibiblia mwanadamu hakuumbwa na uwezo wa kula nyama yoyote ile ndo asili yake ktk uumbaji wake... yeye ni wa matunda,mbogamboga za kondeni na nafaka tu. Hata sayansi inaonesha matokeo mazuri mtu akiishi kwa kula hivyo.Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Hata yenyewe haikulikeI dont like pork
I dont like pork
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Hizi amri zilitolewa kwa pamoja na ile iliyotuzuia kula nyama ya ngamia, samaki asiye na magamba, sungura, bata na baadhi ya ndege wengine. Sema ni vile tu Miungu iko mingi kila mmoja kwa wkt na mahali pake hutoa sheria zake tofauti na za Mungu mwingine... Mambo yakawa tofauti ktk hayo.“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
...Kwanza kwenye Biblia hakuna kitabu Cha Walawi bali Kipo Mambo ya Walawi we Icho chako sijui umekitoa wapy“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Shiiiiiiiiiiiiiiiii kimyaaaaa
HahahahaNiliwahi kukuta andiko kama hili mahali nikaacha . Sio nikaacha kula KITIMOTO , la hasha . Niliacha kuendelea kusoma .
Tutaendelea kula na hiyo minyoo ishindwe kwa damu ya Yesu aliye hai.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Kile kibibi kizushi[emoji200] + [emoji482] = BURUDANI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]... bila kusahau ngamia ...
Malizia hapohapo ktk kutokuja kutengua torati kwa hekima ya juu utajua maana ya kuja kuikamilisha, tumia ule mfano wa mwanamke mzinifu aliyeletwa kwake ili aipitishe amri ya torati kuhusu uzinifu, hakuja kuitengua bali kuikamilisha, hukumu aliyoitoa iliikamilisha torati, UPENDO ndo uliokuwa na torati si kuuana. Vingi vilikamilishwa kihivyo, hapo ndo watu wapatapo na mashaka na ujio wa mwingine aliyeukataa ukamilisho huo ambao hâta kwa kipofu huuona ukweli wa kiungu ktk ukamilisho huo, mashaka nadhani huanzia hapo kwa alichokileta, aliyemtuma, yeye mwenyewe, Je ni wa mfululizo uleule wa Nabii Issa mtoto wa Mariamu ?Paulo anawadanganya nyinyi.
Yesu anasema hakuja kutenguwa taurati, sasa wewe na huyo Petro na Yesu nani zaidi?
Hivi kilimanjaro na Mombasa wapi mchezo mchafu umeshamiri zaidi, ushoga na ubasha namanisha ?Na wewe unafakamia tu? Ndiyo maana mnafyatuana mpaka makanisani wanaume kwa wanaume, najisi tupu.