FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
...Kwanza kwenye Biblia hakuna kitabu Cha Walawi bali Kipo Mambo ya Walawi we Icho chako sijui umekitoa wapy
Back from the topic
MAMBO YA WALAWI 11:4-8
Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua ila hana kwato, yeye ni najisi kwenu
Na wibari, kwa sababu yeye hucheua ila hana kwato, yeye ni najisi kwenu
Na sungura, kwa sababu hucheua ila hana kwato, yeye ni najisi kwenu
Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati , lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu
Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu
Sasa hapo mbona hakutajwa nguruwe pekee Kuna hayawani wengi wameorodhesha kwenye list
Why nguruwe There must be something going on!
Kama kweli ungekua unalifuata agizo la Walawi(Kama ulivyo liandika) na ngamia angekua najisi Kwa sababu na yeye yumo
Ila kuna stori nazisikia kua Ili Kumchinja Ngamia ni mpaka asomewe Dua na Akubali na Asipokubali ukamchinja nyama yake huwa chungu
[HASHTAG]#SAY[/HASHTAG] NO TO NGURUWE
[HASHTAG]#SAY[/HASHTAG] NO TO NGAMIA
[HASHTAG]#SAY[/HASHTAG] NO TO SUNGURA
[HASHTAG]#SAY[/HASHTAG] NO TO WIBARI.
Wewe fakamia tu mpaka siku yakukute ndiyo utaelewa.