Tamama
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 887
- 1,107
unatumia kinywaji gani nikununulie hahahahsitegemei na wala sina nia wala wazo kuwa NITAACHA KULA KITIMOTO, nyama tamu sana hiyo hata iweje nitakula tuuuuuuuuuuuuuu
unatumia kinywaji gani nikununulie hahahahsitegemei na wala sina nia wala wazo kuwa NITAACHA KULA KITIMOTO, nyama tamu sana hiyo hata iweje nitakula tuuuuuuuuuuuuuu
Niliwahi kukuta andiko kama hili mahali nikaacha . Sio nikaacha kula KITIMOTO , la hasha . Niliacha kuendelea kusoma .
LUSEKELO kubwa hahahahahahunatumia kinywaji gani nikununulie hahahah
Usitoke nje ya mada.....Siachi hii kitu....Kufanya dhambi kwa watu wengi hakufanyi yaliyokatazwa kuwa halali.dhambi IPO pale pale.na jehannam IPO pale pale.hata watu wote kuanzia Adam hadi wa mwisho kuumbwa.tufanye makosa.tutaingizwa jehannam woteee.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Andiko limeandika kuhusu Kitimoto tu???Mbona Sungura na Samaki wasio na Magamba hawajadiliwi??Tunaangalia maandiko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Andiko limekataza.hao wanyama waliotajwa.nashangaa mmeamua kuvunja maandiko.maana wote wamekatazwa.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Andiko limeandika kuhusu Kitimoto tu???Mbona Sungura na Samaki wasio na Magamba hawajadiliwi??
Endelea tu kula.mbona hata yesu alikuwa anakula nguruwe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usitoke nje ya mada.....Siachi hii kitu....
Ikitokea kwako au kwa unayemfahamu,naamini utawachasitegemei na wala sina nia wala wazo kuwa NITAACHA KULA KITIMOTO, nyama tamu sana hiyo hata iweje nitakula tuuuuuuuuuuuuuu
ajali kaziniIkitokea kwako au kwa unayemfahamu,naamini utawacha
Kitabu unachoabudia hakijaandika mbona unahangaika na vitabu vya wenzio?Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Huyo tutaelewa ni utoto tu, wewe je? Unafikiri parasite anapokuwa mwilini anakula nini? Parasites feed off their hosts huo ndio ukweli wenyewe.Uongo mwingine bana eti mnyoo anakula ubongo hata mtoto wa std 1 hawezi kukubali ujinga huo
Cysts can resist heat of over 100 degrees Celsius hivyo ni ngumu kufa by boiling.Babu zetu tumewakuta wanakula nguruwe mpaka leo hawajapatwa na huo ugonjwa, cha msingi ni kuzingatia kanuni za afya kwa kuichemsha vizuri basi.
Kuna watu ni majasiri bwana, wapo wanaoshiriki ngono zembe kila siku ilhali wakijua kuna uwezekano wakuambukizwa virusi vya ukimwi na homa ya ini. So na nyie endeleeni tu kula. Everyone's destiny is already written.Tutaendelea kula na hiyo minyoo ishindwe kwa damu ya Yesu aliye hai.
Kila mtu atakufa kwa muda wake.Kuna watu ni majasiri bwana, wapo wanaoshiriki ngono zembe kila siku ilhali wakijua kuna uwezekano wakuambukizwa virusi vya ukimwi na homa ya ini. So na nyie endeleeni tu kula. Everyone's destiny is already written.
Aliyeandika hii article naye alikuwa na agenda yake. Na wanao support nao hata hawajaisoma hii article.Kuhn said it is then feces-tainted food, and not undercooked pork, that leads to worms burrowing into the brain.
"These eggs can live for three months in formaldehyde," said Kuhn. "You got to think, sometimes, a person is slapping lettuce on your sandwich with a few extra add-ons there."