Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Sasa wewe kwani unakula kitokacho? Of course kitokacho ni haramu na nguruwe ushaambiwa ni najisi. Kama hutaki wewe endelea tu kumla, si umeiona page namba moja?

120-belatung.jpg

What Eating Pork Does Inside Your Body (Video) - Health Advice Team
Sawa wacha tuendelee
 
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.

Ila biblia imeenda mbali zaidi kwa wanyama wote wasio cheuwa na
wasio na kwato na wenye kwato ambazo hazijapasuliwa ni haramu mfano sungura, ngamia n.k
 
Ila biblia imeenda mbali zaidi kwa wanyama wote wasio cheuwa na
wasio na kwato na wenye kwato ambazo hazijapasuliwa ni haramu mfano sungura, ngamia n.k

Na wewe unafakamia tu? Ndiyo maana mnafyatuana mpaka makanisani wanaume kwa wanaume, najisi tupu.
 
Endeleeni tu matokeo yake ni hayo uliyoyaona juu huko.
Huo ni ugonjwa kama Magonjwa mengine ingekuwa ivyo china, Japan, Korea ndiko kungekuwa na wagonjw wengi maana hawa jamaa wanakula kitimoto balaa
 
we can't stop eating good bacon!! munyama pork watu walikua wanakula nguruwe pori tena hajaiva vzr wewe unatuletea habari zako za kuogopa vyakula hapa! eat bacon for your health.
 
Mimi kitimoto siachi ng'oo najua nikikichemsha vizuri hao parasite na minyoo wanakufa!
 
ng'ombe naye anasababisha Taenia Sagnata. nae ni haramu? chamsingi nyama iive
 
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Tatizo la sasa ni kubwa kwani licha ya waislam kuonesha kumkataa kitimoto ila kwa sasa kumekuwepo na waislam wengi ni wateja wakubwa wa huyu mnyama
 
Back
Top Bottom