Sipendagi kabisa watu wanafiki kama wewe, umeshindwa nini kuweka kuanzia mstari wa 4?? Au unaogopa unafiki wenu kuumbuliwa??? Ngoja nikusaidie
"
4 “
‘Ila hiki ndicho ambacho hamtakula kati ya wacheuaji na wenye ukwato uliopasuka: ngamia, kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu.+ 5 Pia wibari,+ kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu. 6 Pia sungura,+ kwa sababu ni mcheuaji lakini hana ukwato uliopasuka. Huyo si safi kwenu.7 Pia nguruwe,+ kwa sababu ana ukwato uliopasuka naye ana mwanya kwenye ukwato, lakini yeye mwenyewe hacheui. Huyo si safi kwenu. 8 Msile yoyote kati ya nyama zao, wala msiguse mizoga yao.+ Hao si safi kwenu." (Walawi 11:4-8)
Mbona huyo huwa mnamla tena mnampigia dua kabisa kabla ya kumchinja?? Uache kutumia Biblia yetu kiujanja ujanja, namna hiyo katumie kwenye msaafu wenu.
Hofyo kabisa..!!!!