Wala bata wa Mwanza huu ndio uzi wenu kupata taarifa mbalimbali

Mju
Kwa weekend hii, burudani za kawaida tu zitaendelea katika viwanja vifuatavyo:

1. Cask kwa wale wapenda disco na sehemu ya wazi.
2. Diamond, hapa kwa wale wapenda mziki wa kukaa zaidi.
3. Maduhu_Square_Garden, hiki ni kiwanja kipya kwa watu wastaarabu na wenye familia zao, kipo mtaa wa Uhur
Mkuu unasahauje Bonasera the house of grill
 
Wadau pokeeni salaam kutoka Mwanza,

Huu uzi utakuwa mahususi kwa taarifa mbalimbali kwa wala bata walioko Mwanza hata wageni, unaruhusiwa kuuliza taarifa yoyote itakayokufanya ule bata na kufurahia neema za Mungu zinazopatikana katika jiji hili tamu na zuri.

Karibuni sana.
Nipo Mwanza mtu wangu toka jana bahati mbaya nimefika siku ya kazi na leo ni siku ya kazi but mie nimekuja kupumzika so kazi za watu sina habari nazo.
Ebu ni wapi pazuri kwa leo kupata eneo lenye burudani non stop from morning I mean kupiga mitungi ,music kwa mbali,samaki choma,kuna pisi kali hata km nikwakuziangalia tu as long as sina pa kwenda leo natafuta pa kumalizia hizi siku.
Nasema hivi coz jana asubuh nimeenda eneo fulani asubuh nigonge za baridi nikauziwa km bhangi eti huu ni muda wa kazi!!!!Aisee Mza bado inafanya kazi????

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom