Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

On serious note... Si vizuri kujibishana na hizi ID bandia tulizonazo kama mtu hajui matumizi yake sahihi... Kujibishana na mtu wa namna hiyo ni sawa na kupiga bomu mochwari kisha ujisifu umeua marehemu

Jr
Umeonyesha ukomavu mkuu big up man. Hekima na busara kweli ni nyumbani kwa mtu mzima kama ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200205_163550.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom