Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,529
- 7,553
Hapa itakuwa kwa Semtema, au Msichoke Klabu.
Hapa itakuwa kwa Semtema, au Msichoke Klabu.
Hujaona tag yangu kaka?!Mmh mbona umeondoka sasa
Jr![]()
we mzee kwapilato tena kwa kosa gani kula bata au?

😂😂😂 dhabu yake asile bata kwa miaka kadha.Kuna mlabata mmoja kazingua... Pesa ya kazi kaifanya nauli ya kula bata
Jr![]()
Naona MjiBAPA pembeni hapo mjumbe.
Hapo ijumaa ilikuwa murua kabisaa chief 😋😋
😂😂😂Bapa zilishuka mpaka minyoo ikaomba poo
Jr![]()