Niko hapa napata mbege kwanzaBata batani, wana wa stress free zone
Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada hii.. Hata kama uko kibanda umiza kwa mama muuza na jero yako ukila ngumu kumeza na cheni bloku.. Bado unakula bata...
Ama la uko na mkoko wa mwana kakuazima uoshee.. Bado ni moment ya kula bata.. Weee tupia tuu... Lakini ficha plate number
Hata kama mmealikwa kwenye karamu ya ofisi, jirani, ndugu, harusi.... Hafla za kichama na serikali wee tupia tuu... Hiyo ni moment yako ya kula bata...
Hata kama uko zako bush umeamua kujitenga ukafurahi na kima mijusi na ngedere.. Tupia kwa raha zako
Usiache kutupia hata kama si tukio lako ni la mwana ama mchuchu
Maisha yetu yamejaa CHANGAMOTO na setbacks kibao.... Ukizishikia stress bango... Zitakumaliza utuache tukichill na vilimbwende vya mzee baba... Kuwa sehemu ya wala bata wa JF.... Onesha wapi upo au ulipokuwa ukichill na pengine hata kula tundi kimaskhara
Jisikie huru kujiachia... Usiendekeze stress na majungu... Vitakumaliza... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
tuwahi jumuiaKumeshakucha tutalala kesho😂
hilo ndilo lenyewe ,kuonesha uko serious na JumuiaEeh na hili puyapuya la nyagi🙌🏿🙌🏿🏃🏿😂
Matumizi ni mipango.. Bata ni zaidi ya hivyo .. Ila kuna mikasi nkHivi kula bata ni kula na kunywa mabia tu? Haya kama ni hivyo hilo bata linaliwa kwa msuguri, temboni, tegeta, katoro, nkuhungu, R chuga, na kwingineko tu? Yaani hata kufika hapo Ngorongoro Crater, Dubai, Bahamas, na kwingineko ni shida?