Wala bata wa JF

Wala bata wa JF

79001220_464774267779393_5203927880728904040_n~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nakusifu kitu kimoja Mshana Jr, kuna action ulichukua ya akili sana dhidi ya jamaa mmoja aliyekuja kukupinga kuhusu suala la Ushirikina. Jamaa alitoa povu sana siku hiyo na matusi kibao ila wewe ulichofanya ni kukaa kimya na kumpuuza. Kwanza hongera kwa hilo...
Pili tangu siku hiyo sioni hizo mada zinazohusu hayo mambo, na umekuwa mtoa mada mzuri katika majukwaa mengine bila kujihusisha na mada za kishirikina japo tumezimiss
 
Back
Top Bottom