Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057


ni macho yangu au nn kile nilichokiona..


ni macho yangu au nn kile nilichokiona..Ndyo mkuu😅eti mikungu ya ndizi
😅😅😅, za hapa hapa Bongo land aiseebasi ndizi zako sio za nchi hii.
Nahakika mm siwezi nunua kabisa hizo ndizi maana unapoziuzia huko ni kwa wababe tu. 😂😂😂😂😅😅😅, za hapa hapa Bongo land aisee
Mkuu ngoja nika print hii picha kisha karatasi niweke kwenye wallet. Mchana unaifungua kufanya upembuzi yakinifu.
Jan ipo chupa 1 Feb zinakuwa 2 mpaka Dec unaweka bucket kabisa hapo.
Mkuu itabidi nije kilingeni kwako unipe mchongo na mimi nile hata kuku sio bata.