


kweli hiko kijiwe balaa ilanaona umefunga bar hapo viti na meza vyote vyeupe.



unakula kitu mpaka tumbo linastuka.
Mzee wangu hizi pics unazopost ni
hapo mm nakuja na ugali wa buku tu unatosha.Karibu nikupe kadi za ccm
Sio Kitimoto kweli hii?
Tupia vitu wewe sio kuwahi tu siti