Wakuu yamenikuta

Akili zikikurudi.....mwite chakata mbususu mzee hayo mengine unajizeesha bure.we kula iyo kitu mzalishe na wewe af pita iv
 
Dah mnanivunja nguvu mi ndio kwanza mapenzi yanazidi na huyu single maza wangu sijui nifanyeje mnapiga mawazo sana
 

Kila siku mnaonywa humu ndani lakini hamsikii.
The only thing single mum anajali ni about mtoto wake and hers
Ww ni sponsor tu
 
Tukiwaambia mnasema hatuwapendi hao wanawake bora mfe tu
 
pole ni kama Mimi tyuu Kuna kijana alinidanganga ivyoivyo baby mama wameachana ila sku moja alsahau kuni hide whatsap nlkuta makopa na caption tata .
for what I learn there is no such thing as kuachana tegemea muda wwte watarudiana
 
Kunywa paracetamol kwa kutumia uji wa moto wa muhogo.
 
Duhh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…