robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Rais Samia. Tafadhari sana.
Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi.
Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa.
Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa.
Hawa nawaona ni kundi moja la akina Sabaya. Siyo wauaji, ni wezi, wanyang’anyi!
Kuthibitisha hilo majina yataanza kutajwa hapa hapa!