Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa jf nauliza swali nini maana (siasa)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MziziMkavu, Nov 16, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,760
  Likes Received: 3,107
  Trophy Points: 280
  Ningependa munifafanulie neno siasa ni nini maana yake kwa kirefu nitashukuru kwa msaada wenu asanteni
   
 2. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,960
  Likes Received: 7,271
  Trophy Points: 280
  Siasa ni utekelezaji wote wa mkataba kati ya watawala na watawaliwa ambao msingi wake ni katiba na demokrasia ambayo ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa manufaa ya watu, 'The people by the people and for the people'
   
 3. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #3
  Nov 16, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,021
  Likes Received: 1,177
  Trophy Points: 280
  Siasa maana yake ni policy,sera,kwamba kila linapotokea jambo fulani,wewe utakuwa na sera kuhusu lile jambo. Kama ni jambo jipya limetokea,unajitahidi kulitanzua,kama alivyosema Churchill kwa msaada wa History,Biography,na Reasoning.
   
 4. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi,
  naomba kuuliza maana ya siasa. Kwa muda mrefu nimeona au kusikia watu wengi kusingizia "hizo ni siasa tu" wakimaanisha kitu ambacho hakina utekelezaji. Kuna mtu anaweza kutupatia maana halisi ya siasa ili tuanze kulitumia inavyostahili hili neno?
   
 5. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2009
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siasa ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee?"
   
 6. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  siasa hiyo ngumu hata mi naomba msaada kama upo?

  Lakini wanasiasa wetu wa Africa its obvious waongo, wezi, wenye uchu wa madaraka na wasiokua wabunifu hivyo siasa ndio njia ya pekee ya mafanikio ktk maisha at the cost of our beloved continent.
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Siasa, katika context ya swali lilivyoulizwa (not necessarily the standard dictionary use) ni "si hasa"

  Yaani, uwongo, mtu akikwambia "nitakujengea barabara" maana yake sitakujengea, si hasa. At best atakulimia kijia cha toroli na kukiita barabara, si hasa.

  Kama vile "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania" si hasa, badili yake tuna "Maisha duni kwa karibu kila Mtanzania" na "Maisha bora kwa mabwanyenye wachache"

  Siasa, Si hasa.
   
 8. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2009
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 341
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  siasa ni uwongo uliokolea
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,223
  Likes Received: 2,019
  Trophy Points: 280
  Hii ndio siasa safi na uongozi bora......zinazobakia ufisadi mtupu
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Nov 16, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,426
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Siasa mkuu wangu ni fikra sahihi za mahusiano kati ya JAMII na WATAWALA..Maadam hakuna usahihi (perfection) kwa binadamu ndio maana hata siasa yenyewe sio sahili, ila ni Uongo unaokubalika..
   
Loading...