kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Kwa mabeberu siasa ni sayansi kwetu huku siasa ni sanaa ya mabavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa upinzani, siasa ni uadui/uhalifu.
Ukiwa chama tawala, siasa ni ajira/kazi.
Umenikumbusha yule waziri siku ile anaongea kwa madaha kabisa na kupinga kwamba mpaka wa Zambia haujafungwa.Siasa ya kibongo ni uwezo wa kushawishi nyekundu ionekane nyeusi.
We jamaa.Sayansi gani haina maabara?
Siasa ni ujanja ujanja tu wa watu wachache kujiona wana akili Sana na kuona umma ni Mazezeta kabisa.
Unaanzaje kuyapima mafenesi Coronavirus?
Kuna aina mbili ya sayansi ambazo ni natural science na social science, sasa siasa iko kwenye kundi la social science kwa mtazamo huo siasa ni sayansi, tatizo hapo labda liko kwa hawa wafanya siasa wenyewe ndio wasanii (haya ni mawazo yangu lakini ndg)Salaam,
Kwanza kabisa niwaombe radhi kama nitakuwa nimeweka swali hili katika jukwaa lisilostahili .Dhumuni kuu la uzi huu ni kupata mwanga wa kiundani juu ya siasa. Mimi si mzoefu wa siasa hivyo nitaomba uvumilivu katika ujibuji wa swali bila kuwepo majibu ya kejeli.
Je, Siasa katika kubwa wake ni ipo katika kundi la kisanaa au kisayansi zaidi ?