wakuu vipi kuhusu scholarship za wadosi mwaka huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wakuu vipi kuhusu scholarship za wadosi mwaka huu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by eliesikia, Jan 10, 2012.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  habari wakuu?

  Mambo ya UDSM ndio kama mlivyosikia wakuu...
  sasa kuna hizi scholarship za wadosi kama 18 hivi mwaka huu sijaona tangazo kabisa kwenye website yao ie. 12/13...

  Nataka niombe nikauze nyago kwa wadosi maana kwa mkandala sirudi na siasa zake uchwara ananyanyasa manguli wa elimu nchini...

  nawasilisha..!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Oya,kwan na we umepewa red card?
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  pole sana , mkuu
   
 4. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  jibuni swali wakuu mtoto wa kiume hupimwa kwa ushujaa sio pole kama kafiwa
   
Loading...