Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Kiukweli hapo unamwitaji Yesu tu si vinginevyo; Njooni kwangu ninyi nyote mliolemewa na Mizigo Mizito ya Dhambi nami nitawapunzisha. Njooni mjifunze kwangu maana Mimi ni mpole na mnyoofu wa Moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana mzigo wangu ni mwepesi na Nira yangu ni laini nanyi mtapata raga nafsini mwenu'
Asante mkuu wangu
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .


Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
Wanawake wa level gani umetembea nao,
Wanachuo wanaotegemea bumu,ma beki tatu,wake za watu wasio na kazi,mama ntirie,wanofanya kazi vituo vya mafuta au benk,airtel,vodacom,au TRA?,
Wanakufata na magari yao,au ni mwendo wa gesti za buku 7,wanawake hao ni wa level IPI,wanoishi magomeni,manzese,au mikocheni,upanga,oysterbay,au kisasa,uzunguni Dodoma,au chan'gombe Dodoma?
Sie wengine wanatufuata wenyewe na ndinga zao,ni kula bata sehemu classic.
Sio ajabu bro,we twanga tu,tumia kinga lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda huo unautoa wapi?

Kifupi the story is abnormal and indicate spiritual tie

Fanya yafuatayo yatakusaidia

Tafuta Mchungaji mwenye mafuta ya kuvunja vifungo vya kichawi

Katubu na atakusaidia kujinasua na laana hii.

Kwa nature ya tatizo lako hutaweza kunisaidia mwenye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom