Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Hapana ni pepo la ngono tu... Majukumu ya kifamilia na changamoto za maisha bila kusahau stress vitalifanya liondoke lenyewe

Jr[emoji769]
Umejibu vizuri sana, kuna muda unafika wewe mwenyewe unajitune tu automatic kwamba hapa nikiendekeza kibomba mambo yatakua hayaendi au nitawaachia wengine mzigo mzito nikitangulia mbele za haki.

Kikubwa kijana kama umri na hali ya maisha inaruhusu AOE... Huo ni mwanzo mzuri wa kuliepuka tatizo lake.
 
Mkuu unaachaje? Hii kitu Ni kitu labda Kama utakuwa huna pesa ya uhakika ila Kama unayo, kuacha Ni vigumu na mademu Hawa wanakuja wenyewe.
Asilimia 90 nowdays ya wasichana ninaogonga Wala hata sitongozi, demu mnakutana mnatoka out mpaka usiku mkali kurudi unamuambia hapa Ni moja kwa moja mpaka kwangu reply yake Ni kimya.
Ukifka Ni kumpima HIV na kumpiga mzigo.
Kila la kheri mkuu we acha mm mpaka wazuri waishe
Daaah mkuu binafsi nmechoka ,haya sio maisha , najikuta sioni faida yake tena zaid ya kupoteza tu.

Na zaidi ni jamii ya kiume inavyonichukulia, siku izi mpaka naona nikisimama na mdada tu basi nahisi kuna mtu ananiwazia ubaya .
 
Umejibu vizuri sana, kuna muda unafika wewe mwenyewe unajitune tu automatic kwamba hapa nikiendekeza kibomba mambo yatakua hayaendi au nitawaachia wengine mzigo mzito nikitangulia mbele za haki.

Kikubwa kijana kama umri na hali ya maisha inaruhusu AOE... Huo ni mwanzo mzuri wa kuliepuka tatizo lake.
Asante mkuu, malengo yangu nilipanga nioe ndani ya mwaka 1-2 ijayo .nadhan umenielewa hapa .

Sasa saizi ndio nmesema nahitaj kubadilika. Ili sasa nimtafute mwanamke mmoja tu nifanye naye uchumba nahatimaye tuoane . Najua unaelewa kuoa mtu bila kujuana inapelekea changamoto.
 
Duniani inabidi watokee watu kama nyie ili tupate funzo.


Na funzo linaweza kuwa nzuri au baya. Na kwasababu ni uasherati tegemea siku moja jamii kupata funzo baya kutoka kwako.



Maisha ni wewe unavyoyaendesha. Nakutakia siku njema ya kuendeleza harakati zako za kuvua chupi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ntakupa njia mbili na narihi
1. MKABITHI YESU MAISHA YAKO
hapa namaanisha ni rahisi mno kuacha dhambi yoyote ile kama unampenda yesu, kwa maana wewe utamkabidhi maisha yako kisha yeye ndio mwenye jukumu la kukubadili kupitia roho mtakatifu
2. BADILI MTAZAMO WAKO KUANZIA KWENYE UBONGO
mkuu kila wazo huanzia kwenye ubongo kabla ya matendo sasa hapa jitahidi kudhibiti mawazo yako, mfano wewe jiwekee ratiba ya kila baada ya muda fulani may be unasema mimi sitaki tena kusex na unakiandika na hicho mpaka kwenye diary iwe ni wimbo wako ili kidogo kidogo uweze kuibadili akili yako. Note hii ndio njia na mimi niliyotumia kuacha kuangalia porn mpaka sasa na miezi mitatu na sehemu.
Nikutakie kila la kheri katika utekelezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, asante sana kwa maelezo mazuri .
Nahitaj sasa kujitoa kwelikweli
 
160 Mbona chache sanaa mzee endelea baba..!! Wameumbwa uwatafunee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hizi chai za asubuhi asubuhi... 160 Iringa nadhani ungeanza kuona matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah mkuu binafsi nmechoka ,haya sio maisha , najikuta sioni faida yake tena zaid ya kupoteza tu.

Na zaidi ni jamii ya kiume inavyonichukulia, siku izi mpaka naona nikisimama na mdada tu basi nahisi kuna mtu ananiwazia ubaya .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha kuna siku mmama flani alimuona mwanae wa kike kasimama na Dereva boda boda na huyo Boda ni malayaa balaa na watu wanadai ana ngwengwe... Yule mama Alienda akaanza kumtukana sana yule mpaka bhasi ila baadae akaanza kulia tena huku akimuuliza mwanae kama ashagawa penzi yani alilia kwa Uchunguu sanaa...[emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha kuna siku mmama flani alimuona mwanae wa kike kasimama na Dereva boda boda na huyo Boda ni malayaa balaa na watu wanadai ana ngwengwe... Yule mama Alienda akaanza kumtukana sana yule mpaka bhasi ila baadae akaanza kulia tena huku akimuuliza mwanae kama ashagawa penzi yani alilia kwa Uchunguu sanaa...[emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Daahh sawa mkuu
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .


Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.

I used to be like you, probably a lot worse. Nilipata Neema ya kupata mke mzuri kabisa (japo mwanzoni sikujua thamani ya mke niliepewa hadi Mungu aliponirudi). Leo hii naweza kabisa kulala chumba kimoja na mwanamke na nisifanye nae sex.
Ushauri wangu: acha Ukristo wa mazoea. Sali kila unapopata muda hata kama ni dakika moja au nusu dakika ukimuomba Mungu akufungue na kukuweka huru (usiige uombaji wa mtu, na hakuna style ya kuomba). Hadi leo mimi najijua kuwa sijui kuomba, ila huwa natafuta sehemu tulivu halafu naongea na Mungu just as a normal conversation (trust me, our LORD is our father so you can talk to him). And take each day as it comes. Kwa kuanzia unaweza leo hii (hata kama ulilala na mtu) kwa kumuomba Mungu: "Baba yangu na Mungu wangu, naomba uniwezeshe leo kila nitakachokiwaza, kukinena na kutenda kiwe ni kwa utukufu wako. Leo sitaki kufanya uzinzi, kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth".

Utashinda kama nilivyoshinda. Bwana akutetee.
 
Back
Top Bottom