Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Wenzio pia tunafanya umalaya ila tunaogopa wake za watu na kuheshim nyumba za ibada..weye kijana unajiendekeza...next time ukitongoza mke wa mtu waza utakapofumaniwa na kutatuliwa marinda utaacha tu..af chengine inaonesha una umuch know flani kulikua hamna haja ya kusema ushatembea na wadada wengi sijui JF inaonesha huna koromeo ukimaliza lazima ujisifie kwa watu ndo maana inakua rahisi kubainiwa..wenzio unaweza maliza mtaa mzima wala watu wasikuhisi

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
I used to be like you, probably a lot worse. Nilipata Neema ya kupata mke mzuri kabisa (japo mwanzoni sikujua thamani ya mke niliepewa hadi Mungu aliponirudi). Leo hii naweza kabisa kulala chumba kimoja na mwanamke na nisifanye nae sex.
Ushauri wangu: acha Ukristo wa mazoea. Sali kila unapopata muda hata kama ni dakika moja au nusu dakika ukimuomba Mungu akufungue na kukuweka huru (usiige uombaji wa mtu, na hakuna style ya kuomba). Hadi leo mimi najijua kuwa sijui kuomba, ila huwa natafuta sehemu tulivu halafu naongea na Mungu just as a normal conversation (trust me, our LORD is our father so you can talk to him). And take each day as it comes. Kwa kuanzia unaweza leo hii (hata kama ulilala na mtu) kwa kumuomba Mungu: "Baba yangu na Mungu wangu, naomba uniwezeshe leo kila nitakachokiwaza, kukinena na kutenda kiwe ni kwa utukufu wako. Leo sitaki kufanya uzinzi, kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth".

Utashinda kama nilivyoshinda. Bwana akutetee.
Asante sana Kaka, nashukuru mnoo
Nmefarijika kuona umewah pitia hali kama hii na ukaishinda.

Asante sana.
 
Mkuu kwa Stage uliyofika Nadhani ushaonja za kila ainaa...!! Na kaa ukijua hakuna mwanamke ambae amekamilika kwa kila kitu... Labda wewe mwenzangu matumizi ya Ndomu unazingatia na unaweza... Me niliamua kuacha kabisa huo ujinga sababu ni mvivu sana wa Kutumia ndomu afu Ngoma naogopa balaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So jitathmini mzee Magonjwa yapo sana pia Mimba zisizotarajiwa kibao..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe Bwana Yesu maisha yako awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Kiukweli hapo unamwitaji Yesu tu si vinginevyo; Njooni kwangu ninyi nyote mliolemewa na Mizigo Mizito ya Dhambi nami nitawapunzisha. Njooni mjifunze kwangu maana Mimi ni mpole na mnyoofu wa Moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana mzigo wangu ni mwepesi na Nira yangu ni laini nanyi mtapata raga nafsini mwenu'
 
I used to be like you, probably a lot worse. Nilipata Neema ya kupata mke mzuri kabisa (japo mwanzoni sikujua thamani ya mke niliepewa hadi Mungu aliponirudi). Leo hii naweza kabisa kulala chumba kimoja na mwanamke na nisifanye nae sex.
Ushauri wangu: acha Ukristo wa mazoea. Sali kila unapopata muda hata kama ni dakika moja au nusu dakika ukimuomba Mungu akufungue na kukuweka huru (usiige uombaji wa mtu, na hakuna style ya kuomba). Hadi leo mimi najijua kuwa sijui kuomba, ila huwa natafuta sehemu tulivu halafu naongea na Mungu just as a normal conversation (trust me, our LORD is our father so you can talk to him). And take each day as it comes. Kwa kuanzia unaweza leo hii (hata kama ulilala na mtu) kwa kumuomba Mungu: "Baba yangu na Mungu wangu, naomba uniwezeshe leo kila nitakachokiwaza, kukinena na kutenda kiwe ni kwa utukufu wako. Leo sitaki kufanya uzinzi, kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth".

Utashinda kama nilivyoshinda. Bwana akutetee.
Barikiwa mkuu
 
me nadhani ni wwe mwenyew kuamua na kumuomba mungu akuepushe na hii situation.ila sanasana ni kumuomba mungu coz hapo unapambana na shetan bob.
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .


Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
Njoo nikuhasi uwe kama maksai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom