Wakuu ushauri, nifanyaje niachane na Uzinzi?

Kila la kheri...

Mm bado niko na wadada wa JF,
Usikute ni mm tu ndio sijawah kwenda PM kwa mdada.

Ha ha ha ha ha, ntajaribu
Asante sana mkuu, "kutoentertain" .. Nahisi hii sehem muhim pia ndugu, nitaifanyia kazi.
Maana kufurahisha furahisha ndio kunafanya kiasi kikubwa nifanye hii dhambi.

Humu jf nmelala nawengi ila wengi walikua niwale wa kusex kishikaji. Na mmoja tu ndio ambaye alinipenda sana nakwadhati mnoo .
Ila siku aliposhika simu yangu nakuingia PM maana jF huwa silog out ninaiacha tu . Ndio siku alipoumia tukaachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huiheshimu dini yako unadhani utaheshimu ushauri wa wadau?
Mkuu Mpaka napiga hatua kwenda kanisani ,nadhan utaona nia ninayo.

Ila nikifika kanisan, nisikae karibu na wadada, mawazo yangono yanakujaa, wapo naowapa Diary waandike namba, wapo naowapa simu waandike namba, wapo naowapa simu wasome meseji nayokua nmeandika.
Haya yote nayafanya ibada ikiwa inaendelea.

SASA nmeleta humu mnisaidie. Ili angalau nijue nini shida hata nikiwa kanisan niwaze hivo.

Kazin nakua siwazi sana sababu ya nature ya kazi na miiko. Lkn kuna wakat najikuta pia naharibu kwa wagonjwa, hata nichukua namba zao .
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
Mkuu Nimekushangaa Sana yaani uko kwenye 100+ unasema umetembea na wanawake wengi.
Katika maisha yangu mm huu ndo ulevi wangu Wala siwezi kuacha hata siku moja, nikimuona demu mzuri kwa gharama yeyote lazma nimpate natembea na vipimo vya ukimwi kwenye gari langu. Huwezi kunishauri niache Kuna watoto wakali kila siku nimuachie Nani?.
Mkuu bado Sana kiukeli hiyo idadi uliyoisema inaweza fika mara3+ ya wangu niliotembea nao na bado naona wazuri wako MTAANI.
Mimi sinywi pombe, sigara Wala bangi ila demu mzuri mzuri haswa hawezi pita mbele yangu akabaki salama
 
Umesex na manesi kwa kuwalazimisha, unatongoza wagonjwa wanaokuja hospitali kutoa huduma, acha hiyo tabia haipendezi kutumia matatizo ya watu ili ujinufaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama umesoma uzi wangu juu. Nmeeleza wazi ,kua silazimishi wala nini.

Ila nikitu kinatokea hata namm baadae najilaumu naumia.

Ndio maana nmeona mnishauri ndugu. SIPENDEZWI NAHII
 
Yaani wanawake 160+ndo unaona wengi?mm 90's nlijaribu kuhesabu kwa wale nliokua nawakumbuka walifika zaidi ya 1000!!!lakini ilifikia wkt sikuomba ushaur kuacha ila umri na majukumu nlijikuta natundiga daruga mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa, majukumu nilonayo niyangu mim tu. Maana sijaoa wala nn. Na wazazi sio kwamba wananitegemea .

Kwenye umri hapo, je inawezekana ikaja kua suluhisho???
 
Kama upo serious na hili, nakushauri jumamosi asubuhi uende KKkt kimara korogwe kwa mchungaji Mastah, ana kipindi cha counselling na mtu mmoja mmoja..mimi pia nilikuwa na hiyo shida, usijali mkuu nakuelewa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitambua... Wazee kwenye ukoo wako wameisha?? Kama Wapo nenda wakusaidie sababu Hata dini yako imepwaya.
 
Mkuu Nimekushangaa Sana yaani uko kwenye 100+ unasema umetembea na wanawake wengi.
Katika maisha yangu mm huu ndo ulevi wangu Wala siwezi kuacha hata siku moja, nikimuona demu mzuri kwa gharama yeyote lazma nimpate natembea na vipimo vya ukimwi kwenye gari langu. Huwezi kunishauri niache Kuna watoto wakali kila siku nimuachie Nani?.
Mkuu bado Sana kiukeli hiyo idadi uliyoisema inaweza fika mara3+ ya wangu niliotembea nao na bado naona wazuri wako MTAANI.
Mimi sinywi pombe, sigara Wala bangi ila demu mzuri mzuri haswa hawezi pita mbele yangu akabaki salama
Mimi nahitaji kuacha mkuu. Nami ulivotaja sivifanyi .
Ila uzinzi hauna maana nahitaj kuacha , jana nmesex lkn mwisho nimeishia kumblok mtu ,hata leo nmeona nije humu nitafute suluhu yakutoka hapa
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.

Likate tu hilo dushe au ukiona vipi jitahidi uwe unashikishwa ukuta.
 
Mkuu unaachaje? Hii kitu Ni kitu labda Kama utakuwa huna pesa ya uhakika ila Kama unayo, kuacha Ni vigumu na mademu Hawa wanakuja wenyewe.
Asilimia 90 nowdays ya wasichana ninaogonga Wala hata sitongozi, demu mnakutana mnatoka out mpaka usiku mkali kurudi unamuambia hapa Ni moja kwa moja mpaka kwangu reply yake Ni kimya.
Ukifka Ni kumpima HIV na kumpiga mzigo.
Kila la kheri mkuu we acha mm mpaka wazuri waishe
Mimi nahitaji kuacha mkuu. Nami ulivotaja sivifanyi .
Ila uzinzi hauna maana nahitaj kuacha , jana nmesex lkn mwisho nimeishia kumblok mtu ,hata leo nmeona nije humu nitafute suluhu yakutoka hapa
 
Mpaka sasa, nikiondoa wanawake wa level za sekondar,, tukahesabia wachuo mpaka hapa nilipo, nmelala na wanawake zaidi ya mia ,niseme kama mia nasitin nakitu ivi.
Kwaufupi ndugu zangu. wanawake wananitongoza kuanzia wake za watu ,singo mama, mabinti n.k, nahata mimi natongoza sanaa na asilimia ya kukataliwa nindogo ,in short karibu kila nayemtongoza anakubali .
Nmefanya uzinzi. , sina sura nzuri wala gar , nilichonacho ni elimu namaisha binafsi ambayo bado nayajenga.

Nmetembea na mtu namarafiki zake, mtu na dada zake , hawa wa usiku mmoja niwengi sana, wamagarin safari wamefikia 11 , wamakazin ndo usiseme. Najikuta ofisi nzima nmesex nao.
Kinachonishangaza, nipale wanawake wanapojua situlii na mwanamke, unakuta nasemwa semwa vibaya lkn muda si mrefu nawao natembea nao ama mmoja mmoja kunitafuta au mimi niwatafute .
Ndugu zangu, mwaweza ona masihala, ila mwenye uwezo au ushauri wann nfanye naomba anisaidie ndugu zangu. Nisaidieni jamaan. Umri unakwenda bila hata kua na mwanamke mmoja wakufanya naye maisha.
Humu JF nmetembea na wanawake mpaka roho inauma, wapo wadada wa kila Rika na hali mbalimbali walonipenda wenyewe. Nilowapm mimi. Kwaufupi nmetembea na weng.

Ndugu zangu, Moyo wangu unaniuma sana. kama ni pepo niambieni nifanye nini.
Nachokumbuka ktk ukoo wetu huwa wanawakawaida mtoto akizaliwa anafanyiwa matambiko yaan apendwe tuu nawatu, kwaufupi mahali popote napokua Ninanyenyekewa sana. Ninapendwa sana. Uwe Bosi uwe mfanyakazi, utaninyenyekea tu nakunipenda utake ustake , lkn pia Babu yangu kabla ya kufariki nilimuuliza hii suala. Kwann nakua napendwa mno nakwann watu wanitazamapo ,hunitaxama sanaa nakuishia kutabasam ?.akanambia wenyewe wako ivo kwao enzi naenzi

Lakini swali kubwa nalojiuliza. Kwanini mimi tuu ndo nizidiwe nasuala la wanawake??? Kwann jaman?? Nifanye nini mimi? Sitaki hii hali. Sitaki kupendwa na wanawake wengi., unakuta mdada ananipenda kwa dhat. Ila mimi sababu nakua napendwa sana nawanawake wengine nasiwaachi bila sex ,najikuta anakata tamaa tu anabaki kua rafiki wa faida.( kuna mdada humu mcha Mungu. She was really a pure Gift , aina ya wanawake wema, lkn naye nmeishia kumkatisha tamaa hata sasa yupo kimya ) ..Am sorry Z .najua usomapo hapa utanielewa

Ndugu zangu, najikuta nahama hama kimakazi sababu tu napokua nakaa, Wake za wapangaji au ambao hawajaolewa ndani ya muda mfupi nakua nmeshatembea nao . Imefikia hatua NAKALIWA VIKAO na watu (hii mbaya ,imenifanya nihame hame sana)

Jamii huniambia. kijana macho yako ni makali kiasi kwamba watu wanakuogopa naunawalazimisha wakupende wake kwa waume , sasa upande wa wanawake ndio ambao umenizidi nguvu.
Ndugu zangu, Nina elimu kubwa tu upande wa Afya , ivo afya naijali , ni mkristo,... Nifanyeje nitoke hapa?? Nahitaj kua mwanadam wa kawaida, nmechoka kuamka asubuh nakuta meseji za wanawake zaidi ya kumi , nimechoka ndugu zangu, nashindwa kujigawa.

NIMECHOKA KUTUMIKISHWA NA SHETAN. SIYAHITAJI MAISHA HAYA WAPENDWA. NISAIDIENI , Nina pepo? Au yale maagano ya wazeee ?? Au hali ya kurithi,?? Na nifanyeje .

Wakuu wangu, Nahitaji Shauri zitakazo niokoa, msinipe kejeli, pamoja na elimu nilonayo. Bado haijanitoa hapa , nisaidieni.
ntakupa njia mbili na narihi
1. MKABITHI YESU MAISHA YAKO
hapa namaanisha ni rahisi mno kuacha dhambi yoyote ile kama unampenda yesu, kwa maana wewe utamkabidhi maisha yako kisha yeye ndio mwenye jukumu la kukubadili kupitia roho mtakatifu
2. BADILI MTAZAMO WAKO KUANZIA KWENYE UBONGO
mkuu kila wazo huanzia kwenye ubongo kabla ya matendo sasa hapa jitahidi kudhibiti mawazo yako, mfano wewe jiwekee ratiba ya kila baada ya muda fulani may be unasema mimi sitaki tena kusex na unakiandika na hicho mpaka kwenye diary iwe ni wimbo wako ili kidogo kidogo uweze kuibadili akili yako. Note hii ndio njia na mimi niliyotumia kuacha kuangalia porn mpaka sasa na miezi mitatu na sehemu.
Nikutakie kila la kheri katika utekelezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom