Nadhani pia inategemea na tamaduni ya jamii fulaniNacho wapendea wajaluo hata Kama ndugu zake wanamteta kiasi gani akipata mali lazima awakumbuke hata kuwajengea nyumba nzuri za kuishi wengine unafiki tu
Mfano wewe unakiwanda na unakazi nyingi tu za kupatia watu za taaluma na ambazo si za taaluma,huku ndugu yako anayeweza kufanya kazi mojawapo akiwa mtaani akipigika na maisha bila kumsaidia; je hiyo ni sahihi?Haya mambo ya kuendekeza kusaidiwa na ndg ndio Kunasababisha UZEMBE, kurogana na chuki zisizolazima. Kila mtu amezaliwa siku yake na ambambane kivyake.
Inapendeza sana,na wote wakiwa na mshikamano inakuwa vizuri zaidiKuwawezesha ndugu zako kiuchumi inasaidia kupunguza utegemezi. Nimeshughudia jirani yangu Kafanikiwa kimaisha akaamua kuwainua ndugu zake kwa kuwafungulia miradi mbalimbali .Hivyo ndugu zake hawawezi lia shida kwa ndugu aliyefanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni cha kweli mkuu,ili kuepusha lawama...unamuwezesha,akiharibu shauri yakeWatanzania wengi tumeshidwa kusonga mbele kwaajili yakuzijaza ujinga mindset zetu zinakaa na kuamini amini katika kusaidiwa ...unakuta mtu hafanyi jitihada zozote za kujikwamua mahala alipo kwama anakaa tu ana tegemea msaada toka kwa mtu Fulani .....wakati huo huo huyo mtu ambaye anayetegemea amsaidie kifo kina msubiri au kufukuzwa kazi na kufilisika kuna msubiri pia.. So wanao kaa kaa tu na kusubiri misaada toka kwa watu walishawahi kujiuliza endapo wasingezaliwa pamoja na watu hao au wasinge juana nao maisha yao yangekuwaje .....
Simaanishi kwamba watu tusisaidiane Bali ninachotaka kusema ni kwamba tuache tabia za kuwa tegemezi sana haipendezi tunapaswa kutambua kwamba tuwe watu wanahitaji kusaidiwa pale inapostahiki ..hii tabia ya kupenda kusaidiwa saidiwa ina lemaza uwezo wa kufikiri inaturudisha nyuma mnoo tukiwa kama taifa ....na hili tatizo La kupenda kusaidiwa saidiwa lipo kwa wananchi wengi wahili taifa....
Ndio jamii yetu ya sasa imefikia mahali mwanamke wa kitanzania haoni tena wajibu wa kutafuta kazi kinyume chake ukimtongoza tu anaanza kukupiga mizinga kibao... Wakati huo huo kuna vijana wengine kibao wakiume kazi yao ni kushinda shinda tu vijiweni hawana future plan wala nini halafu na wao una kuta wanalalamika kabisa kwamba baadhi ya ndugu zao Hawa wasaidii ...hivi kuna mtu mwenye pesa sake ambaye atakuwa tayari kumpa mtu msaada ilhali anajua kwamba hata akimsaidia vipi huyo MTU hawezi kubebeka kwa sababu huyo mtu hana kabisa life skills na hana kabisa descipline ya maisha !!?
pesa zinauma mkuu ... Binafsi siwezi kumpa msaada Mtu ambaye najua fika kabisa hawezi kubebekaUnachosema ni cha kweli mkuu,ili kuepusha lawama...unamuwezesha,akiharibu shauri yake
Mbaya zaidi unampatia yeye anaenda kuhongapesa zinauma mkuu ... Binafsi siwezi kumpa msaada Mtu ambaye najua fika kabisa hawezi kubebeka
Kuna watu hapa duniani ni sikio la kufa, hata uwafundishe vipi.... Uwasaidie vp..... Ni wakulost tu! Ukishindana na nature mnalost nyote kwa pamoja. Kwakuwa upo hai utayashuhudia nayoandika hapa.Nadhani pia,ili kuondoa lawama ni bora umuwezeshe akiharibu ndio liwe funzo kwake.
Imagine. !!!!!Mbaya zaidi unampatia yeye anaenda kuhonga
na ukifanikiwa unaonekana unaringa na mwizi....Inawezekana ikawa kweli,hatutaki wengine wafanikiwe
Sasa unapofanya jeuri kwa mtu aliyefanikiwa naye akakupuuza unapata faida ipi?Akiweka kata we kunja nne kwani nini maisha ndio haya haya hata Mimi nina ndugu zangu ni vigogo serikalini lakini sijawahi kuthubutu kuomba hata mchango wa sherehe Sina maana mimi roho mbaya bali mtu akishajiona maisha ameyamaliza huwa Sina time nae hata kidogo ujeuri ujeuri tu
Kweli mkuuKuna watu hapa duniani ni sikio la kufa, hata uwafundishe vipi.... Uwasaidie vp..... Ni wakulost tu! Ukishindana na nature mnalost nyote kwa pamoja. Kwakuwa upo hai utayashuhudia nayoandika hapa.
Wengi wanasaidiwa ila hawabebeki
Sent using Jamii Forums mobile app