Wakuu tupunguze ubinafsi

Haya mambo ya kuendekeza kusaidiwa na ndg ndio Kunasababisha UZEMBE, kurogana na chuki zisizolazima. Kila mtu amezaliwa siku yake na ambambane kivyake.
Mfano wewe unakiwanda na unakazi nyingi tu za kupatia watu za taaluma na ambazo si za taaluma,huku ndugu yako anayeweza kufanya kazi mojawapo akiwa mtaani akipigika na maisha bila kumsaidia; je hiyo ni sahihi?
 
Kuwawezesha ndugu zako kiuchumi inasaidia kupunguza utegemezi. Nimeshughudia jirani yangu Kafanikiwa kimaisha akaamua kuwainua ndugu zake kwa kuwafungulia miradi mbalimbali .Hivyo ndugu zake hawawezi lia shida kwa ndugu aliyefanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wengi tumeshidwa kusonga mbele kwaajili yakuzijaza ujinga mindset zetu zinakaa na kuamini amini katika kusaidiwa ...unakuta mtu hafanyi jitihada zozote za kujikwamua mahala alipo kwama anakaa tu ana tegemea msaada toka kwa mtu Fulani .....wakati huo huo huyo mtu ambaye anayetegemea amsaidie kifo kina msubiri au kufukuzwa kazi na kufilisika kuna msubiri pia.. So wanao kaa kaa tu na kusubiri misaada toka kwa watu walishawahi kujiuliza endapo wasingezaliwa pamoja na watu hao au wasinge juana nao maisha yao yangekuwaje .....

Simaanishi kwamba watu tusisaidiane Bali ninachotaka kusema ni kwamba tuache tabia za kuwa tegemezi sana haipendezi tunapaswa kutambua kwamba tuwe watu wanahitaji kusaidiwa pale inapostahiki ..hii tabia ya kupenda kusaidiwa saidiwa ina lemaza uwezo wa kufikiri inaturudisha nyuma mnoo tukiwa kama taifa ....na hili tatizo La kupenda kusaidiwa saidiwa lipo kwa wananchi wengi wahili taifa....

Ndio jamii yetu ya sasa imefikia mahali mwanamke wa kitanzania haoni tena wajibu wa kutafuta kazi kinyume chake ukimtongoza tu anaanza kukupiga mizinga kibao... Wakati huo huo kuna vijana wengine kibao wakiume kazi yao ni kushinda shinda tu vijiweni hawana future plan wala nini halafu na wao una kuta wanalalamika kabisa kwamba baadhi ya ndugu zao Hawa wasaidii ...hivi kuna mtu mwenye pesa sake ambaye atakuwa tayari kumpa mtu msaada ilhali anajua kwamba hata akimsaidia vipi huyo MTU hawezi kubebeka kwa sababu huyo mtu hana kabisa life skills na hana kabisa descipline ya maisha !!?
 
Inapendeza sana,na wote wakiwa na mshikamano inakuwa vizuri zaidi
 
Unachosema ni cha kweli mkuu,ili kuepusha lawama...unamuwezesha,akiharibu shauri yake
 
Mzee wangu aliniambia kwamba "huwezi kumfanya mtu aendelee (kumtoa mtu) mtu anajiendeleza mwenyewe"
Hii kauli sasa hivi naiona ya ukweli 100%. Wewe unaweza kuwa na uweza na ukawa hadi unatuma pesa kijijini ili watu wajenge na waanzishe miradi lakini siku ukirudi unakuta yule uliyemtumia ameongeza mke wa pili na hakuna mradi wowote..
Au unamlipia mtu ada likizo anarudi na 0 kitu pekee alichoweza ku-achieve ni kunyoa kiduku kichwani.
Sasa watu wa hivyo utawapa msaada gani?? Ndugu wa hivyo usipoangalia wanaweza kukurudisha kwenye circle of poverty tu. Kwahio kitu bora cha kufanya ni kutembea na wale wanaoweza kupokea msaada wako na kuufanyia kazi wawe rafiki , au hata ndugu wa mbalii.

NB. Cha muhimu wazazi usiwasahau tu. Lakini ndugu wengine kama hawana akili ya kujiendeleza wenyewe hata ukiwa unawapa mil 10 kwa mwezi utakuwa wameongeza wake na kulewa tu.
 
Akiweka kata we kunja nne kwani nini maisha ndio haya haya hata Mimi nina ndugu zangu ni vigogo serikalini lakini sijawahi kuthubutu kuomba hata mchango wa sherehe Sina maana mimi roho mbaya bali mtu akishajiona maisha ameyamaliza huwa Sina time nae hata kidogo ujeuri ujeuri tu
Sasa unapofanya jeuri kwa mtu aliyefanikiwa naye akakupuuza unapata faida ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom