Ukipata limama likomoe chanzo cha vijana wengi kuteketea

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu.

Mtakuja kusema tusipangiane na wengine mtapita kimnya kimnya ila ukweli ndiyo huu la zima usemwe maana wanaume tumepungua sana

Haijalishi mabinti wanazingua sana ila kijana huwezi kukosa kabinti kasaizi yako mtakao endana. Ndugu zangu kijana kutoka na lijimama kwa kisingizio cha kulikomoa atoboe ni tabia za kike na ipo siku utatobolewa na njemba za hilo jimma lako maana ni kitendo cha muda tuu utapoteza marinda yako kirahisi sana

Vijana wa sasa hawataki tena kutoka kimapenzi na mabinti wadogo wenye umri rika lao, vijana wa sasa wanang'ang'ania mama zao kwa kigezo cha kupata wepesi wa maisha na kulelewa kama mademu huko ndani, wengi wanataka majimama, wanawahiana mashangazi ili wavune wepesi wa maisha

Ndugu inasikitisha sana unakuta kijana anatoka kimapenzi na mwanamke umri wa mama yake kabisa tena libibi lililokaukiwa sukari na mwenye ukame wa maji kwa kigezo cha kusaka maisha ili atoboe pasi na kutoa jasho, vijana wengi sana wanapiga deki sehemu walipotokea hao mabinti umri rika lao waliopaswa kuwaoa, vijana wengi wananyanyasika huko kwa mijimaa huku ikipelekeshwa hovyo kwa kupenda maisha ya mteremko na anasa.

Ni kweli vijana mtasema ukipata jimama likomoe utoboe ila jua utatobolewa wewe badala ya kutoboa, utapewa gari zuri uoshee masela ,utapewa nyumba kali, pamba kali utavaa mtaenda viwanja ila kaa ukijua ewe kijana muda siyo mrefu utatobolewa wewe kimnyakimnya kwa kuogopa kurudia maisha ya chini ili usichekwe na wenzako, hizo hela ulizo mkausha huyo jimaa lako utazirudisha kwa wewe kuliwa kiboga na hao njemba zake waliomfanya akafika hapo tena pasi na huruma huyo jimama atakuingiza pole pole kwenye biashara ya ushouger ili avune pesa

Utaenjoy maisha ya mserereko ila utakua unashikwa taco na hilo jimama na kuuzwa kwenye makasino kama kiburudisho cha manjemba, tena ikibidi atakuvalia mpaka strap on, utapigwa dildo ndogo maana wewe kijana mpuuzi si unataka hela nyepesi, utapiga deki ulipotokea kwa mama yako huku ukishurutishwa umeze mafungus yake, utakatazwa kusimama wala kua na mazoea na mabinti saizi yako kwa kigezo cha una tuzwa na kuwekwa mjini, utaishi maisha ya anasa zote , utaishi maisha mepesi ila jua ipo siku utatobolewa kilaini sana na njemba huku wakishirikiana na hilo jimama lako unalotaka kulikomoa

Ukimiss mademu umri rika lako atakuunganisha na mademu wasagaji wakakusage tigo mpaka akili ikukae sawa.

Vijana majimama sio watu wa kucheza nao, chukueni mabinti saizi yenu mpande nao polepole, ni kweli wanazingua sana mabinti ila huwezi kukosa wakuvumiliana nae na kupanda nae polepole.

Shauri yenu. Asie sikia la mkuu huvunjika guu
 
Majimama wengi af wana shoti
 
Hakuna jipya chini ya jua.yalikuwepo tangu enzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🪑🪑💺🎶🎶🎶🎶
 
Pussy haikomolewi, ila kidume inabidi pia upige mishindo ya uhakika ili uanaume uwepo.
 
Mimi naona shida ipo kwa kina mama au Mashangazi kwa sababu

1. Nivigumu kijana kumtongoza mwanamke ambaye amemzidi umli bila ya uyo mwanamke kuwasha gree light

2. Changamoto za ndoa asilimia kubwa ya Mashangazi ndoa zao zinasumbua ivyo wanatafuta amani ya mioyo yao kupitia vijana

3. Video za ngono asilimia kubwa huwa kichocheo cha kupelekea ngono zembe si ajabu kukuta mama mtu mzima kwenye simu yake ameweka picha za ngono tena zile za shamba boy and mother house as content

4. Group za Whatsapp na telegram uko ndio taharifa za mahusiano uhanzia na kujuana maana utakuta wakina mama wengi huingia mkumbo wa mahusiano na vijana wadogo kupitia msukumo wa mitandao

5. Utafauti wa umli kati ya mume na mke apa unakuta mume amemzidi mke wake zaid ya miaka 15 apo Mke akifikisha miaka 50 unakuta Mume anamiaka 70 ivi apo kupeleka moto inakuwa chini ya kiwango au aiwezekani ivyo suluhisho ni kutafuta kijana wa kumpeleka moto

6. Maladhi kama vile kisukali na BP tunajua jinsi aya maladhi yanavyo punguza nguvu kazi ya mwili ivyo inakuwa vigumu kufanya tendo la ndoa Sasa mume anakuwa anaumwa kisukali plus umli umeenda apo awezi tena kufanya tendo la ndoa pia mke unakuta nae awezi vumilia kifuatacho kijana anatafutwa na kuwa mbadala

7. Majukumu ya Kila siku, apa unakuta mume anakuwa busy even mwezi mzima ayupo nyumbani Sasa mke anabaki mpweke ivyo akiwa ana ujasili wankuvumilia ataishia kuchepuka na vijana wadogo

Mwisho kabisa vijana tukiwa na hofu ya Mungu pia tukafanya kazi kwa bidii kuna bahadhi ya zambi na maladhi tutaviepuka

Asante
 
99% ya majimama @ mashangazi yanayojirahisisha kwa vijana wadogo ni wasthirika na ma unene walionayo ni effect ya zile dawa wanazomeza. Ukitaka mserereko jiandae na parapanda.

CAVEAT EMPTUR
 
Kama upo dar, Arusha, dodoma , mwanza au iringa anza kufanya uchunguzi mwenyewe utajionea
Embu tusaidie kufanya uchunguzi then uje na ripoti kamili. Ripoti (gazeti) yako haijakamilika. Ripoti iwe na picha, za hao madogo,na hao majimama na mashangazi, na mahojiano yao na pichawakiwa kitandani na pesa nyumba na magar wanayopewa. Kwenye pesa jitahidi uje na bank pay slip ikionesha miamala kutoka kwa hayo majimama kama ujira wa mauno wanayowapa.
 
Back
Top Bottom