Wakuu tupeni pole jamani


ilikuwa ni dhahama kubwa!!na nikajua kumbe watu wote wanamjua MUNGU,kwani ilikuwa kila mtu Mungu tuokoe,subuhana tuokoe,Mungu tumekukosea nini,mungu tunakufa,mungu tuokoe hatutarudia tena(hata sikujua hatutarudia nini)!!mungu tumeuona utukufu wako, na maombolezo mengi ya staili hiyo!!nitaishi kuukumbuka usiku wa juzi!!
 

yani kila mmoja alimtaja mungu kwa jina lake akuna alokimbia kimya kimya pamoja na yote nimejifunza mabo mengi sana kupitia janga hili na pia kwenye matatizo kama kuna vituko vinakuja kwa ajili ya mstuko wa janga lenyewe yani nyie acheni
 
Poleni sana, tunamshukuru Mungu kwamba amewaponya wewe na familia yako!
 
Duh!! Pole sana mtaalamu wetu! Tumshukuru Mungu uhai
 
Dr Pole sana mkuu!
Tumshukuru Mungu kama wewe na familia nzima mko salama.Hakika ni jambo la kushukuru.
Poa tuko pamoja.
 
Dr Pole sana mkuu!
Tumshukuru Mungu kama wewe na familia nzima mko salama.Hakika ni jambo la kushukuru.
Poa tuko pamoja.

thanks mkuu kwakweli ilikuwa dhahama
 
Pole sana mkuu na tunashukuru Mungu wewe na familia yako na majirani zako mko salama.
 
pole sana am sure it was a hard experience,tunashukuru uu mzima
 
pole sana mpendwa, hii hali tuisikie tu, ikikufika ni balaa, tunamshukuru Mungu umepona na umeweza kutuletea hii habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…