Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,841 Reaction score 99,988 May 6, 2026 #41 Mr Attorney said: Kuna watu wenye upendo huwa wanatuma. Click to expand... Kwakwlei wabarikiwe tu! Mi siwezi..
Mr Attorney said: Kuna watu wenye upendo huwa wanatuma. Click to expand... Kwakwlei wabarikiwe tu! Mi siwezi..
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 5,132 Reaction score 13,102 May 6, 2026 #42 Seran said: Watu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁 Click to expand... Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili amini
Seran said: Watu wengine wanazeeka na upumbavu! Kwahiyo likishaisha hapo tena anaomba kwingine? Au ndio wajinga wajinga wakituma buku buku tayari😁 Click to expand... Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili amini
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,841 Reaction score 99,988 May 6, 2026 #43 sheremaya said: Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili amini Click to expand... Haiwezekani, kwani mtoa mada pia ni mzee?
sheremaya said: Mommy Mtu wa miaka 45 au 50 plus anaweza kuomba buku kweli mtandaoni, Hawa ni Wana kwenye Moja na mbili amini Click to expand... Haiwezekani, kwani mtoa mada pia ni mzee?