Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
Ulikosea kukaa naye kwenye biashara bila kumla!
Ungekuwa umemla isingekuuma sana!!
Pole mkuu..!
Mleta mada ni mdada/mwanamke, hopefully.
-Kaveli-
Ulikosea kukaa naye kwenye biashara bila kumla!
Ungekuwa umemla isingekuuma sana!!
Pole mkuu..!
Ivi Chief ni Me au Ke?Pole Chief umeibiwa vitu gani na duka liko wapi, mtaa, wilaya mkoa nk
Ulifanya kosa kubwa sana kumla
Nimejua janaKwahiyo ulikuwa unajua unafanya Kaz na Muhuni na ukamuachia ofisi
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana sijawahi hayo mamboHuyo wahi kwa mtaalam tu azirudishe mwenyewe kabla mambo hayajaharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Machoni kama watu
Moyoni hawana utu
Achana nae, amenisumbua sana huyo mtu
Ushawahi shiriki kupiga mwizi?Huwa ndo silaha nayotumia hapa home, iko chini ya uvungu, jirani yangu leo alikuwa analia kama mtoto a nafuga kuku wa kienyeji kaibiwa wote
Ukifunga duka ondoka na pesaHapana, nilikuwa ndo najiandaa niagize vinywaji Yan jana,