Wakuu nimeibiwa

Wakuu nimeibiwa

Nimekupa hongera coz mtu akikurudisha hatua moja nyuma ya kimafanikio, Basi anakua amekufanya Upige hatua 10 mbele za kimafanikio! Kupitia kwake yeye atoae riziki!
Usivunjike moyo..Bible inasema
Mathayo
4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika.

So huyo mtu kaenda kukufungulia milango ya baraka, System ya maisha ni ya ajabu sana. Mtu anaweza kuona kakukomoa kumbe! Wee subbiri kuona outputs baada ya tukio hili. Utapata zaidi hata hiyo 1 aliyochukua hutaikumbuka.

Everything comes for reasons
Na Mimi na Like kwa maandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi, mdokozi na tapeli. Hawa watu ni zaidi ya mchawi. Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku nasemaga.....
Kama dhambi zingekewa zinawekwa kwa viwango...
basi haya makundi ingekua Ni namba 2 baada ya muuaji....

Wanarudisha sana nyuma na kuumiza mioyo ya watu...

Usiombee kbsa....
Suala sio kiwango kilivhoenda...
Suala ni je ulikua unakihitaji kiasi gani, umepambana kiasi gani kukipata, unakitegemea kiasi gani....

Dada pole...

Bushmamy pole...
 
Pole kwa mtihani kila mtu anajisemea kwa nafsi yake
Je?brother huyu bint ukimlipa mshahara kwa wakati,na hakua akikudai chochote
Nadhani ni hivyo .
Basi kama ni hivyo chukua tahadhari japo kuna usemi ambao Mimi siuafiki wanaseama Adui wa kwanza katika kazi yako ni mfanyakazi wako
Pole sana’
 
...Ninaona kuwa kuna swali linaulizwa humu zaidi ya mara Nne na halipatu majibu la...Amekuibia shilingi ngapi??...au ameibia shs ndogo sana hata wee mwenyewe unaona udhia kuzitaja?
Kama ni hivyo, achana naye Usonge mbele na mambo yako mengine...Mungu atakujalia nyingine nyingi zaidi ya aliyokuibia!
Huwezi kujua, labda huko kwao mama yake amelazwa kwa kuanguka ghafla kwa stroke na hiyo hela uliyoibiwa ndio imeenda kumuokoa huyo mama na kwa namna moja ama nyingine ukawa umepata Baraka kwa kuokoa maisha ya mtu!...japo kwa kuibiwa !!!

Sent using Jamii Forums mobile app


Hata kama ni ndogo kiasi gani kuibiwa kunauma...amemrudisha nyuma
 
Kill mwisho wa siku,msimamizi anatakiwa kukabidhi pesa za mauzo,asilale nazo,
Unamwachia pesa za mauzo wiki nzima ukitegemea Nini?
 
Wakuu leo moyo wangu wauma sana, nina kiofisi changu cha kidizaini tu hapa kitaa, sasa kuna binti tupo hapo anasimamia.

Sasa leo nimetoka mishe mishe mida ya mchana nakuta pamefungwa nikapiga namba haipatikani, basi nikamuuliza dada nyumbani vipi umeachiwa ufunguo, kasema upo nikaenda fungua.

Machale yakanicheza, nikasema embu nciheki hela kama ipo, duh hamna kitu.

Basi nikatoka kama upepo hadi anapokaa Dah Mungu wangu keshachukua begi lake kachapa lapa muda mrefu sana, yaani dah usiombe aisee yakutokee haya.

Hawa watu tunaowaweka kwenye biashara zetu tuwe makini sana, roho imeniuma lakini nimesimama kama chuma hadi watu wananishangaa.

Hapa chumbani huwa nalala na kipande cha nondo, akigusa mtu mlango amekwisha.
Ulifanya kosa kubwa sana kumla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom