Wakuu nimeibiwa

Bushmamy,
Nimekupa hongera coz mtu akikurudisha hatua moja nyuma ya kimafanikio, Basi anakua amekufanya Upige hatua 10 mbele za kimafanikio! Kupitia kwake yeye atoae riziki!
Usivunjike moyo..Bible inasema
Mathayo
4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika.

So huyo mtu kaenda kukufungulia milango ya baraka, System ya maisha ni ya ajabu sana. Mtu anaweza kuona kakukomoa kumbe! Wee subbiri kuona outputs baada ya tukio hili. Utapata zaidi hata hiyo 1 aliyochukua hutaikumbuka.

Everything comes for reasons
 
SAIKOLOJIA YA MWIZI WAKO KWA WAKATI HUU:

1.Ana hofu.

2.Anajua unamtafuta.

3.Anajuta.

ATAKACHOFANYA:

1.Atajificha kwenda mbali na kuzima mawasiliano yote.

2.Akihisi yuko salama ata relax. Atarudisha mawasiliano yake hewani (most likely kupitia simu yake na namba yake halali) kisha atarudi mahali pake halali anapoishi.

3.Atatumia mawasiliano yake kutaka kujua na kuhakikisha kuwa wewe sio tishio tena kwake.

Anzia hapo. Utamkamata kama kuku.
 
Nilikuwa natakiwa kulipa vitu vingi sana wiki hii ikiwemo pango la hapo, na bills nyingine
Fear not my dear..God got you Covered katika wakati huu unaoona ni mgumu! Japo kweli utapata shida kulipa yote hayo ila nina uhakika utavuka vikwazo. Na jua litang'aa kwako
Yeremia : Mlango 33
3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
 
Kweli mkuu
Fanya tracking utampata, au kamata mzamini wake kama ulimuajiri maana yake alileta barua ya kuomba, ila kama umimchukua kimjinimjini mzee baba unakazi ngumu
Tracking ni gharama lakini ujue na inategemea aliondoka na shlngp upige mahesabu kama hiyo hela ya gharama za tracking ni ndogo kushinda hizo pesa maana anaweza pata hasara mara mbili 2.
 
Back
Top Bottom