test man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2016
- 1,014
- 970
Kwani wewe sio rafiki yako? Wapi kasema anahitaji hela?mimi na bushmamy tunaelewena kivyetu vyetu!Mtumie hata kaelfu hamsini shosti yako,acha gubu![]()
Hapana Mimi sio rafiki yangu, hata kama hajasema lakini wewe hebu tumia akili katoka kuibiwa cash huyo,hvyo sio mbaya ukampa japo hata laki ikampooza machungu alipie bills ndogo ndogo za kwenye biashara yake hyo.Kwani wewe sio rafiki yako? Wapi kasema anahitaji hela?mimi na bushmamy tunaelewena kivyetu vyetu!
Hapana Mimi sio rafiki yangu, hata kama hajasema lakini wewe hebu tumia akili katoka kuibiwa cash huyo,hvyo sio mbaya ukampa japo hata laki ikampooza machungu alipie bills ndogo ndogo za kwenye biashara yake hyo.
#wanawakempendane
Nipm namba yake na mm nitume japo kamchango kanguHaya!
Huyo wahi kwa mtaalam tu azirudishe mwenyewe kabla mambo hayajaharibikaWakuu leo moyo wangu wauma sana, nina kiofisi changu cha kidizaini tu hapa kitaa, sasa kuna binti tupo hapo anasimamia.
Sasa leo nimetoka mishe mishe mida ya mchana nakuta pamefungwa nikapiga namba haipatikani, basi nikamuuliza dada nyumbani vipi umeachiwa ufunguo, kasema upo nikaenda fungua.
Machale yakanicheza, nikasema embu nciheki hela kama ipo, duh hamna kitu.
Basi nikatoka kama upepo hadi anapokaa Dah Mungu wangu keshachukua begi lake kachapa lapa muda mrefu sana, yaani dah usiombe aisee yakutokee haya.
Hawa watu tunaowaweka kwenye biashara zetu tuwe makini sana, roho imeniuma lakini nimesimama kama chuma hadi watu wananishangaa.
Hapa chumbani huwa nalala na kipande cha nondo, akigusa mtu mlango amekwisha.
Amesema hata mwezi hajamalizaMuwe mnawalipa pesa zao za ujira.
Hapo ukute ana miezi 4 hajalipwa na alikuwa anaishia kula tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu leo moyo wangu wauma sana, nina kiofisi changu cha kidizaini tu hapa kitaa, sasa kuna binti tupo hapo anasimamia.
Sasa leo nimetoka mishe mishe mida ya mchana nakuta pamefungwa nikapiga namba haipatikani, basi nikamuuliza dada nyumbani vipi umeachiwa ufunguo, kasema upo nikaenda fungua.
Machale yakanicheza, nikasema embu nciheki hela kama ipo, duh hamna kitu.
Basi nikatoka kama upepo hadi anapokaa Dah Mungu wangu keshachukua begi lake kachapa lapa muda mrefu sana, yaani dah usiombe aisee yakutokee haya.
Hawa watu tunaowaweka kwenye biashara zetu tuwe makini sana, roho imeniuma lakini nimesimama kama chuma hadi watu wananishangaa.
Hapa chumbani huwa nalala na kipande cha nondo, akigusa mtu mlango amekwisha.
Mama yake akiugua, haimpi kibali cha kuiba pesa... the end does not justfy the means,,, good end cannot be sought with evil means...Ninaona kuwa kuna swali linaulizwa humu zaidi ya mara Nne na halipatu majibu la...Amekuibia shilingi ngapi??...au ameibia shs ndogo sana hata wee mwenyewe unaona udhia kuzitaja?
Kama ni hivyo, achana naye Usonge mbele na mambo yako mengine...Mungu atakujalia nyingine nyingi zaidi ya aliyokuibia!
Huwezi kujua, labda huko kwao mama yake amelazwa kwa kuanguka ghafla kwa stroke na hiyo hela uliyoibiwa ndio imeenda kumuokoa huyo mama na kwa namna moja ama nyingine ukawa umepata Baraka kwa kuokoa maisha ya mtu!...japo kwa kuibiwa !!!
Sent using Jamii Forums mobile app