Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Kama ameibiwakweli kwaakili hii, itakuwa kuna mganga alimwambia hata akiacha vitu kizembe havitaguswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu tunatamani kupiga steps ahead...lol!
Kama ameibiwakweli kwaakili hii, itakuwa kuna mganga alimwambia hata akiacha vitu kizembe havitaguswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimtukane jenga hoja.wewe ndio mavi, machi noo, limbukeni.
mwafrika gani unajifanya hujui kuwa kuna tamaduni zetu za kiroho na zinafanya kazi.
unajifanya hujawahi kabisa kusikia tukio la nguvu za kijadi, mtu kulogwa. Haya mambo yapo.
Najua mwenyewe
Hahahaaa ujinga hauishi duniani mkuu.Kuna fala kanitukana kabisa...era hizi bado unaamini mganga akuvushe[emoji1751]
Hahahaaa ujinga hauishi duniani mkuu.
Hayo matusi uliyopewa ndio yana reflect akilizao.
Uganga wa kienyeji ni upuuzi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa Polisi hawa wa Bongo au Polisi wa Brunei??Mwenzenu kuanzia leo nakoma kuheshimu au kuzivalue baadhi ya ID humu!...unaweza iheshimu sana id fulani kumbe makamasi kabisa...
Ushirikina?khaa!...hv kwann usiende tu kwenye vyombo husika wakamsaka mtuhumiwa?duh...
Lakini wakipewa chochote wanaweza msaidia..Hivi kwa Polisi hawa wa Bongo au Polisi wa Brunei??
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Kumbe mpaka utoe chochote! Kwanini wenye mamlaka ya kumsaidia mwananchi ili amsaidie kwanza lazima amkamue?!Lakini wakipewa chochote wanaweza msaidia..
huyu mkosoaji ni faller sana
Hii ndio njia sahihi na vitu vyakw anaweza kuvipataPole Sana rafiki.Gari ulii-pack Africans sehemu gani mkuu.Nje ya bar au eneo gani? Maana miye nakaa eneo Hilo na ni mwenyeji.ili kesho nianze kuwapanga vijana wa eneo ulikoibiwa waanze kunusanusa na kudodosa kwa vibaka wa eneo ulikopack gari kwa ahadi KWAMBA walioiba wakirudisha,Tutawakatia kitu reasonable,na kwa ahadi pia KWAMBA hakutakuwa na mkono wa Sheria.Sema specifically ulipack eneo gani Africans na ILOKUWA around muda upi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Demi utakuja kuliwa shauri yako
Asipoteze muda wake kwenye polisi.Lakini wakipewa chochote wanaweza msaidia..
Pole sana aisee kawatoe bushaHabari zenu, jioni hii nilipaki gari maeneo ya africana mbezi beach, wamevunja na kuiba laptop mbili lenovo, na vitu vingine na pesa, nimekuja kwenu kwa yeyote atakaefuatwa kuuziwa naomba kwa msaada wako u nitaarifu
Na pia nauliza hivi naweza pata mganga wa jadi atakaeweza kunisaidia kumpata huyu mwizi? Maana wamenirudisha nyuma sana na kuna vitu na documents.muhimu sana.
Nawasilisha