Wakuu nimeibiwa laptop 2 kwenye gari

Wakuu nimeibiwa laptop 2 kwenye gari

Mkuu unataka tuwasambaratishe kwa radi kabisa? Au unataka vitu virudi tu? Ila mkuu nashangaa kidogo, hivi Wasumbwa wa sasa hivi mmekuwaje dhaifu hivyo? Zamani mlikuwa mnasifika sana kwa ndumba yaani mzigo ungekuwa umesharudi!
 
Mwenzenu kuanzia leo nakoma kuheshimu au kuzivalue baadhi ya ID humu!...unaweza iheshimu sana id fulani kumbe makamasi kabisa...
Ushirikina?khaa!...hv kwann usiende tu kwenye vyombo husika wakamsaka mtuhumiwa?duh...

wewe ndio mavi, machi noo, limbukeni.
mwafrika gani unajifanya hujui kuwa kuna tamaduni zetu za kiroho na zinafanya kazi.

unajifanya hujawahi kabisa kusikia tukio la nguvu za kijadi, mtu kulogwa. Haya mambo yapo.
 
Hivi Juma Njemba hakumrithisha hata mjukuu mmoja hayo mambo yake?

Huwezi kuvipata hata iwe vipi!
 
Kuna mtaalamu Mmoja yupo Tanga ndani ndani huko, ila sijamthibitisha kama yuko vizuri, kuna rafik yangu ndo katoka huko leo siku ya tatu, alienda kwa mambo fulan fulan hivi yanafanana na yako, nasubiri majibu yake itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtazamo wako unawezaje kufanya uwe mtazamo wa kila mtu kama umestaarabika kweli ?

Hiyo ni imani yake na kumbuka imani nzuri kwako haiwezi kuwa nzuri kwa John.
Mwenzenu kuanzia leo nakoma kuheshimu au kuzivalue baadhi ya ID humu!...unaweza iheshimu sana id fulani kumbe makamasi kabisa...
Ushirikina?khaa!...hv kwann usiende tu kwenye vyombo husika wakamsaka mtuhumiwa?duh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole mkuu, usiwe unaacha vitu vya thamani kwenye seat ya gari maana vinavutia wezi, fungia kwenge buti au zamisha chini ya seat
 
Habari zenu, jioni hii nilipaki gari maeneo ya africana mbezi beach, wamevunja na kuiba laptop mbili lenovo, na vitu vingine na pesa, nimekuja kwenu kwa yeyote atakaefuatwa kuuziwa naomba kwa msaada wako u nitaarifu

Na pia nauliza hivi naweza pata mganga wa jadi atakaeweza kunisaidia kumpata huyu mwizi? Maana wamenirudisha nyuma sana na kuna vitu na documents.muhimu sana.

Nawasilisha
Kama vijana wa chama cha mboga mboga walikuwepo eneo hilo basi hao wanatakiwa kuwa suspects namba moja
 
Mosi kuwa mpole. Upelelezi wako uanzie hapo hapo ulipopaki gari. Tafuta vijana wahuni wa hapo wape flsh dish wawatafute hao wahuni wakurudishie documents zako au laptops kama wakiweza.Kuwa mpole maana umeshapigwa tayari.

Ongea vizuri na mafundi viatu, mabaamedi pamoja na vijana wote wahuni wa hiyo mitaa, utasaidiwa. Iliwahi nitokea nikatumia hii njia nikapata Nokia yangu enzi hizo.

Polisi unaweza kwenda ila kwa waganga wa kienyeji sikushauri kabisa.

Swali la kizushi, unatembea na laptop mbili zote za nini kwanini nyingine usiache nyumbani? Pia kuna njia za kisasa za kuhifadhi data, kwanini hutumii? Yaani data zako zinakuwa hewani hata uibiwe simu au laptop unazirudisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ndio mavi, machi noo, limbukeni.
mwafrika gani unanifanya hujui kuwa kuna tamaduni zetu za kiroho na zinafanya kazi.

unajifanya hujawahi kabisa kusikia tukio la nguvu za kijadi, mtu kulogwa. Haya mambo yapo.

Sawa...!
 
Mosi kuwa mpole. Upelelezi wako uanzie hapo hapo ulipopaki gari. Tafuta vijana wahuni wa hapo wape flsh dish wawatafute hao wahuni wakurudishie documents zako au laptops kama wakiweza.Kuwa mpole maana umeshapigwa tayari.

Ongea vizuri na mafundi viatu, mabaamedi pamoja na vijana wote wahuni wa hiyo mitaa, utasaidiwa. Iliwahi nitokea nikatumia hii njia nikapata Nokia yangu enzi hizo.

Polisi unaweza kwenda ila kwa waganga wa kienyeji sikushauri kabisa.

Swali la kizushi, unatembea na laptop mbili zote za nini kwanini nyingine usiache nyumbani? Pia kuna njia za kisasa za kuhifadhi data, kwanini hutumii? Yaani data zako zinakuwa hewani hata uibiwe simu au laptop unazirudisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jibu murua kabisa..atumie ujanja wa .mjini..mganga anakumalizia hela tu..anywys!
 
Pole sana.. Usiwe unaacha vitu vya thaman garini, mi nina jamaa yangu hata milango huwa hailock maana wanaweza muharibia vitasa wakati hana kitu cha maana garini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom