Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,688
- 3,143
Salaam wakuu natumaini humu nyote ni wazima wa afya.
Kwa sasa jina langu nililokuwa nalitumia mwanzo la Mohamedex121 nimeamua kulichange na sasa mnaweza kunipata katika threads kama Mohamed Mtaleban, id ni ile ile pia cover picha ni ile ile kilichobadilika ni jina
#Natanguliza shukurani wakuu