kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,869
- 20,941
Mkuu usikate tamaa ! On ground hali ni tete sana..... huku mitandaoni tunajipooza!
Watu wanafungua sana biashara, hazikai muda wanafunga..... waokaza ndio hivo, wanalalamika aidha faida kiduchu na wengine wanaziendesha kwa hasara !
Mzunguko umepungua sana, hao wateja wachache unaopata nao wanalia kweli kweli