Wakuu ndo nini sasa???????????

Wakuu ndo nini sasa???????????

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Jamani ndugu zangu mimi nilikuwa nawapa kampani kufunga lakini leo hat mmoja wa kusema First Born karibu hakuna?
AshaDii?????????
Dena Amsi??????????
Husninyo???????????
Ex pastor???????
rejao?????
Faiza Foxy???????????
................
.....................
.....................
acheni uchoyo
 
nani huyo alikuonea huruma bibie?

We acha tu, kuna muumin mmoja aliekuwa ananisaidia kugawa pipi ndo akanimuvuzisha adi kwake! Lol! Kina ADI leo wamekusahau adi wewe? Mi nilidhani ni kina sie tu ambao hatujulikani!! Hahahaha...
 
Jamani first born sijui nikufate hapo a town! Au washa bluetooth nikutumie mazaga zaga.
 
First born nasikia na wewe huwa huna utamaduni wa kukaribisha wenzako. Nadhani wanalipiza ili nawe ujifunze ukarimu
 
Back
Top Bottom