Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

captainkenny

New Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
2
Reaction score
3
Habari za muda huu wakuu.

Naitwa Kennedy 27yr mkazi wa Arusha .

Natafuta kazi yoyote halali nitakayopata. Nina nidhamu, bidii, uaminifu na niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa juhudi. Nimehitim Chuo cha afya na sayansi Shirikishi MUHAS Kama Lab Scientist. Nina uzoefu wa kazi za usimamizi wa Hardware, na Welding ambayo nimeupata nilipokua chuo na nilipomaliza chuo nilipita kwenye hizo kazi miaka miwili Sasa.

Mwenye nafasi ya kazi au taarifa yoyote naomba anisaidie. Nitashukuru sana. Asanteni. 🙏
Mawasiiano.
0749856685
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom