Nangose 1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,205
- 6,781
Niliapply chuo dirisha la pili pale SUA ila mpaka selection zinatoka sijapewa ujumbe wowote zaidi ya ule wa mwanzo kabisa nilipo submit application.
Sasa nahisi itakuwa nimekusa nafasi kwa ile round ya pili na baada ya kufungua round ya 3 nataka niombe tena. Ila shida inayojitokeza kwenye account yangu sijaweletewa option ya kure-apply yaaan maelezo ni yaleyale tu..
Naomba msaada hapa nifanyaje na siku zenyewe za kuomba ni chache sana
Au inatakiwa nianze tena upya kama new applicant..?