Wakuu, naomba msaada wa jambo moja pale SUA

Wakuu, naomba msaada wa jambo moja pale SUA

Mkuu tangu mwanzo nilikuuliza ufaulu wako upoje ili nijue namna ya kukusaidia ukanijibu kwa kejeli

By the way sikutaka kukwambia hili but kwa watu kama ww nimeona nikwambie

kiufupi mimi ni mtumishi wa sua mwaka wa6 huu nilikuuliza vile nikupe hint na namna ya kuwasiliana na wenzangu waliopo kwenye system ya kuchagua applicants but ukanijibu kwa kejeli

pambana na 3rd tu hapo mkuu

#dharauHazijengi #HatujuaniHumu
Msaidie kijana huyo..hawa vijana wa humu jf ni wa kuwasamehe bure tu mkuu.
 
ivi second year kuna vitu gan vya kulipia mwanzo?
second year unaweza anza masomo bila kulipia chochote ila shida itakuja muda wa kusajili course Kama hujalipa ukitaka kusajil inagoma
 
WEBSITE ya SUA mbona haifunguki usiku huu.. TuNipo na Mshikaji wangu hapa nataka nimuombee chuo hii 3 round..
 
Back
Top Bottom