Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
jf wote msaada wenu naomba kutoka kwenu kuna mtu ananikera sana hua ananipigia simu na kuniudhi na anapo piga simu namba hua anablock kwangu inaonyesha private number kwa kweli huyu jamaa ananiudhi sana.
hua anapiga nikipokea analia kama kwamba kuna mtu kafa nikisema alo alo haongei yeye anazidi kulia sirias kabisa .
siku ya kwanza kabisa alinipigia asubuhi mapema ilikua bado sijaamka kupokea akaanza kulia kilio cha kufiliwa mii nikafikri
labda kuna mtu katika familia yangu labda tayari amekufa ukizingatia mimi sipo tanzania niko nje ya nchi yule jamaa kalia mi namwiita alo alo anazidi kulia nikakata nikaweka 10euro kuwapigia familly wakanambia huku mpka sasa salama mara tena yule jamaa siku ya tatau yake kanipigia sikuongea kitu akaanza kulia na leo tena kanipigia hivyo hivyo
kuna wakati hua tayari niko na mama watoto stim zishapanda mara simu hiyoo nikipokea mambo anayonifanyia ndio kama hayo kwa hiyo naomba kama kuna mtu anajua namna ya kunifahamisha jinsi ya kuona hiyo namba basi naomba msaada wenu nimepiga operetor amenambia niende polisi kwanza wao hawawezi kuotoa number mpaka niende kushitaki.
shukurani kwa wote.