wakuu naomba mnisaidie

wakuu naomba mnisaidie

ila kuna watu.vichaa... sasa jamaa analia tu?
 
nime install call blocker katika simu yangu na nimeweka tiki katika private call number toka jana usiku nashukuru hajapiga ahsante mkuu jua kali ila ndio nimeblock all private number hata kama sio yeye ikiwa ni private number haingii .
Ndo hivyo Private calls zote zitaendelea kuwa blocked.
 
jf wote msaada wenu naomba kutoka kwenu kuna mtu ananikera sana hua ananipigia simu na kuniudhi na anapo piga simu namba hua anablock kwangu inaonyesha private number kwa kweli huyu jamaa ananiudhi sana.
hua anapiga nikipokea analia kama kwamba kuna mtu kafa nikisema alo alo haongei yeye anazidi kulia sirias kabisa .
siku ya kwanza kabisa alinipigia asubuhi mapema ilikua bado sijaamka kupokea akaanza kulia kilio cha kufiliwa mii nikafikri
labda kuna mtu katika familia yangu labda tayari amekufa ukizingatia mimi sipo tanzania niko nje ya nchi yule jamaa kalia mi namwiita alo alo anazidi kulia nikakata nikaweka 10euro kuwapigia familly wakanambia huku mpka sasa salama mara tena yule jamaa siku ya tatau yake kanipigia sikuongea kitu akaanza kulia na leo tena kanipigia hivyo hivyo
kuna wakati hua tayari niko na mama watoto stim zishapanda mara simu hiyoo nikipokea mambo anayonifanyia ndio kama hayo kwa hiyo naomba kama kuna mtu anajua namna ya kunifahamisha jinsi ya kuona hiyo namba basi naomba msaada wenu nimepiga operetor amenambia niende polisi kwanza wao hawawezi kuotoa number mpaka niende kushitaki.
shukurani kwa wote.
dial ( *#30# ) kwenye simu yako itakwambia 'number of caller shown'!! kama sio international number basi akikupigia tena utaona number yake..japokuwa sikuhizi mitandao yetu ya simu hairuhusu tena kupiga simu kwa private number!!
 
dial ( *#30# ) kwenye simu yako itakwambia 'number of caller shown'!! kama sio international number basi akikupigia tena utaona number yake..japokuwa sikuhizi mitandao yetu ya simu hairuhusu tena kupiga simu kwa private number!!



dah katika pita pita zangu nimekamata kitu hichi hapa hebu subiri nikifanyie uchinguzi jee ni kweli au wamenidanganya
hebu na nyie kisomeni halafu munipe maelezo zaidi


Private Unblocker - Free Private Number Unblocker: Try Us!
 
Back
Top Bottom