unamhurumia kwel wew kijan huyo?Ramtz Jr usilalamike tena nafasi ndiyo hii
😄Unaandika maneno yote mazuri kuhusu mapenzi unamtumia na hakikisha umeweka delivery report ili ikifika ujue ,ikifika tu ,zima simu mpaka kesho ni lazima kama anakupenda atajibu chochote hata kukukejeli ila usiwaze ni mwanzo wa kutengeneza confidence .