Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili...?

Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili...?

Ahsante kwa ushauri mpana kaka
Fanya kazi au muombe baba yako hela ununue kasimu kadogo uweke laini ya mtandao wowote .

Ukimuona binti yeyote ukampenda anza jitihada za kupata namba yake ila jitahiidi ajue kabisa wewe ndiye unayeitaka hii itakuondelea maswali ya nani kakupa namba yangu maana uwa yanaondoa utulivu wa akili .

Sasa najua wakati wa kuomba namba lazima uwe na aibu ,jikaze ikiwezekana tumia hata mtu muombe akuombee maana mchawi ni namba ukiipata unasubiri usiku wa saa nne mpaka saa tano .

Unaandika maneno yote mazuri kuhusu mapenzi unamtumia na hakikisha umeweka delivery report ili ikifika ujue ,ikifika tu ,zima simu mpaka kesho ni lazima kama anakupenda atajibu chochote hata kukukejeli ila usiwaze ni mwanzo wa kutengeneza confidence .

Endelea na huo mchezo hata majuma mawili mtajikuta mmeshaanza kuchart kawaida mara yupo getoni ,mara usubiri wazazi watoke umlete sebuleni kwenu yaani namna hiyo
 
Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili

Mimi ni kijana wa miaka 20 Sina mpenzi lakini nashangaa nashindwa kutongoza yani unakuta dem nimemuelewa lakini. siwezi kumwambia nakosa kujiamini Wakuu

Naomba ushauri wenu nitumie ili niepukane na adha hii mana sijawahi kutongoza

Kila nikitaka kutongoza msichana yeyote najikuta siwezi kuongea Kaka zangu naombeni ushauri wenu tafadharini:

Ushauri:wenu tafadhari:
Unaogopa kuskia NO kwa kuwa akili na ubongo upo kwenye Auto YES.

Ukipigwa NO jua matumizi ya akili zaidi yanaanza na sio ajabu.
Waropokee tu.
 
Ahsanteni kwa wote walichangia kunipa ushauri nitaleta mrejesho.!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom