RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,029
- 7,775
Mbona mi npo na wewe na tunasonga tu dear!!?Hata hivo mwanamke ni majukumu ni vizuri kutokuwa nao😊
Mbona mi npo na wewe na tunasonga tu dear!!?Hata hivo mwanamke ni majukumu ni vizuri kutokuwa nao😊
Inasikitisha sana!Wakuu nahitaji msaada wenu kwa jambo hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 Sina mpenzi lakini nashangaa nashindwa kutongoza yani unakuta dem nimemuelewa lakini. siwezi kumwambia nakosa kujiamini Wakuu
Naomba ushauri wenu nitumie ili niepukane na adha hii mana sijawahi kutongoza
Kila nikitaka kutongoza msichana yeyote najikuta siwezi kuongea Kaka zangu naombeni ushauri wenu tafadharini:
Ushauri:wenu tafadhari:
Kato Kato Kato sawa bhanaMbona mi npo na wewe na tunasonga tu dear!!?
Duh! wewe ni hatari umeshapata na namba? kila la kheriMuda wenyewe ndo huu namba ninazo kibao ngoja tuone...!
Fanya kazi au muombe baba yako hela ununue kasimu kadogo uweke laini ya mtandao wowote .
Ukimuona binti yeyote ukampenda anza jitihada za kupata namba yake ila jitahiidi ajue kabisa wewe ndiye unayeitaka hii itakuondelea maswali ya nani kakupa namba yangu maana uwa yanaondoa utulivu wa akili .
Sasa najua wakati wa kuomba namba lazima uwe na aibu ,jikaze ikiwezekana tumia hata mtu muombe akuombee maana mchawi ni namba ukiipata unasubiri usiku wa saa nne mpaka saa tano .
Unaandika maneno yote mazuri kuhusu mapenzi unamtumia na hakikisha umeweka delivery report ili ikifika ujue ,ikifika tu ,zima simu mpaka kesho ni lazima kama anakupenda atajibu chochote hata kukukejeli ila usiwaze ni mwanzo wa kutengeneza confidence .
Endelea na huo mchezo hata majuma mawili mtajikuta mmeshaanza kuchart kawaida mara yupo getoni ,mara usubiri wazazi watoke umlete sebuleni kwenu yaani namna hiyo mdogo wangu .
Kwa ushauri zaidi zama PM, tuma hata jero nikusaidie mbinu zingine za toleo jipya
Kuwa makiniHatari sana kama 5 iv
Ahahaahaaa asante mjomba angu.DIVISHENI FOO BICHWA KOMWE - ishi nae kijana msitiriane nae 🙌🏾
Kumbe huwa mnateseka hivyo.Hata mimi nilikuwa kama wewe yaani hakuna kitu nilikuwa naona aibu kama kumtongoza mwanamke
Ilifika hatua mpaka mama mdogo akaanza kuhoji hivi huyu anaweza kutongoza kwel bas mimi ndo woga ukawa unazidi
Ebhanae siku zikaenda
sasa pale mtaani kulikuwa na kadem pisi ya kwenda kila wanaume wakitongoza wanatolewa nje halaf mi nikatokea kukaelewa muda huo ni kama marafiki
Nikawa nawaza nakaanzaje na je kakinikatalia itakuwaje nikawazaa baadae nikaona potelea pote liwalo na liwe
Siku moja nikaamua kukatokea nikakuta kako na marafiki zake
Nikakaita nikakaambia nina maongez na ww
Eti kananiambia ongea hapa hapa na muda huo kamenikazia macho halaf mim sasa mapigo ya moyo yanaenda mbio sio poa hadi nataman kukimbia
Nikajikaza nikamwambia mimi nakupenda halaf muda huo natamani kakatae nikimbie haraka
Lol! Et kananiambia hayo mambo yashapitwa na wakat
Daah kiukwel hakuna siku niliumia kama hiyo siku
Kufupisha stori kalikuja kukubal kwa baadae ila kutongoza kwa mara ya kwanza ni mtihan sio poa