essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 281
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inakuaje kwa mfano ukipakana naoNi kabila pekee ambalo mchaga analiogopa kwenye biashara. Usiombe upakane na mkinga kwenye biashara .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inakuaje kwa mfano ukipakana naoNi kabila pekee ambalo mchaga analiogopa kwenye biashara. Usiombe upakane na mkinga kwenye biashara .
Ohoo... Wewe unajiona unefungua duka ila wateja wanaona hewa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inakuaje kwa mfano ukipakana nao
Co kwel mtu kwenda Kwao ndo mchawi afu amjuaye mchawi yeye nae mchawasante mkuu...
naelekea kuupata ukweli.....
vipi suala zima la mahusiano yao kimapenzi........?
Makete mmepanda miti hata sehemu za kujenga hakunahao wamekudanganya wakinga tupo poa sana tumehama makete tumehamia kariakoo
ExactlyNi kabila pekee ambalo mchaga analiogopa kwenye biashara. Usiombe upakane na mkinga kwenye biashara .
Kama ni kweli myth ya wakinga ni wachawi ndio maana wanafanikiwa kwenye biashara basi pia ni kweli kwa myths zifuatazo
1÷wachaga ni matajiri sababu ya wizi wao
2÷wahaya ni malaya sana hawafai kuolewa
3÷sumbawanga tanga bagamoyo na pemba wanaongoza na kutisha kwa uchawi
4÷ wanaume warefu wana dushe ndefu
5÷ wanawake wembamba na wenye midomo mipaka wana shimo kubwa na refu balaa.
Kuna ukweli baadhi ya sifa hapaWaking a sio matajiri ni washirikina sana Kazi, biashara, ndoa vyote hivyo hulindwa Na Uchawi ni kabila linaloamini sana uchawi .Mie no boss wangu hapa Kinondoni kila mwezi hutoroka kwenda kwao japo Kwa Siku 3 kulinda ajira no kabila chafu sana
Mbeya kunamsemo ''mbahili kama mkinga". wanabajeti sana ya biashara. si wanawake si wanaume. biashara ndogo hadi kubwa. wana SACCOS Mbeya kubwa kama benki.Ukweli ni kwamba wakinga ni watu wa kujituma sana katika kazi watu wanasema washirikina lakini hebu tembea Mikoa mbali mbali hawa jamaa wanajituma sana na wakiweka malengo lazima wafikie yupo tayari kushinda na njaa ili asave hela aliojipangia kuweka kama akiba, Hata maduka yao ndohuwa ya kwanza kufunguliwa, Kwenye swala la mahusiano wako pouwa pia kazi kwanza starehe baadae
Makete mmepanda miti hata sehemu za kujenga hakuna
Wakinga ni kabila lililopo mkoa wa njombe katika wilaya ya makete.......
Wakinga (ukiachilia mbali dhana iliyo zoeleka miongoni mwa watu kuwa ni washirikina ingawa kila kabila lina ushirikina.)...wakinga ni wachapa kazi ,wananidhamu ya PESA(hii imepelekea watu WENGINE kudiliki kuita watu wa kabila hili ni wabahili),wanapenda kushirikianaa,wakarimu,watu wasio penda makuu,...n.k
Wakinga ni kabila linalopenda sana biashara. ...na limejikita katika mikoa mbalimbali ...kama vile dar es salaam mbeya ,iringa, n.k
Katika suala la mahusiano ya kimapenzi ....
Wakinga HASA wanawake wanauvumilivu katika ndoa,uchumba n.k,wanapenda sana maendeleo ,wakarimu,hawana hasira za karibu.....
Ubaya wa wakinga
1:wabishi
2:wabahili
3:wanaamini ushirikina katika biashara ...ukiachilia mbali na juhudi zao
4:wao ndoa za mitala ni kitu cha kawaida kwao
5:wana wivu wa kimaendeleoo
NOTE
Wakinga wanashindwa kuwekeza sana katika mkoa wao kulingana na hali mbaya ya miundo mbinu .....
kwanza kuna aina tofauti ya wakinga zpo km NNE ivi
1: wamahanji - hawa asili yao ni tarafa ya bulongwa na maeneo jirani, wengi wao n watu wa elimu hasa iliosababishwa na ujio wa wamisionari, hawajihushi sana na biashara ila n wabinafs sana na wanajigamba sana, ushirikina upo baadh ya vijiji km vile madihani na utengule huku n balaa sana
2: wamagoma- hawa wanatok tarafa ya magoma n watu wa kati elimu na biashara inategemeana na familia zao,
3: wakinga pure- hawa biashara huwawez kwa njia yyte ile kwa juhud binafs au ushirikina wengi wao hutikea kweny familia duni sana, iv wapo tayar kutoa kafara mtu mmoja ili waliobak waishi vema, elimu kwao sio KTU cha msngi sana maybe kwa miaka ya sasa HV, kuna eneo dogo la lupila kunawasomi kwasababu wamisionar waliingia mapema, hili kund n wabishi sana, uchaw wao n kwaajili ya kupta Mali
4: wawanji- hawa hutokea matamba hawa n watu wanaojitenga sana hawapend kuitwa wakinga, hku ndo uchawi halisi upo, kuna vtu vinaitwa nyambuda, misukule nk,
Nb; kuhusu mapenzi wakinga wote n wavumilivu sana na n wanafki sana kwa michupuko n hatari