Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

Status
Not open for further replies.
Nilivyokuwa mdogo

Kulikuwa na usemi mmoja maarufu

''Ww mbishi kama mkinga vile.
 
Hahaha mi ni mkinga,
Kiuchumi tunakuaga vizuri ila tunapofanya mambo kwa ajili ya kuongeza uchumi watu wanatuona ni bahili...
Kuhusu mahusiano cjui sababu mi bado single
 
Kuna senior mmoja hapa ofisini ni mkinga anaamini sana uchawi hata akikushauri anashauri kichawi chawi
 
Wakinga ni kabila lililopo mkoa wa njombe katika wilaya ya makete.......

Wakinga (ukiachilia mbali dhana iliyo zoeleka miongoni mwa watu kuwa ni washirikina ingawa kila kabila lina ushirikina.)...wakinga ni wachapa kazi ,wananidhamu ya PESA(hii imepelekea watu WENGINE kudiliki kuita watu wa kabila hili ni wabahili),wanapenda kushirikianaa,wakarimu,watu wasio penda makuu,...n.k

Wakinga ni kabila linalopenda sana biashara. ...na limejikita katika mikoa mbalimbali ...kama vile dar es salaam mbeya ,iringa, n.k


Katika suala la mahusiano ya kimapenzi ....
Wakinga HASA wanawake wanauvumilivu katika ndoa,uchumba n.k,wanapenda sana maendeleo ,wakarimu,hawana hasira za karibu.....


Ubaya wa wakinga
1:wabishi
2:wabahili
3:wanaamini ushirikina katika biashara ...ukiachilia mbali na juhudi zao
4:wao ndoa za mitala ni kitu cha kawaida kwao
5:wana wivu wa kimaendeleoo


NOTE
Wakinga wanashindwa kuwekeza sana katika mkoa wao kulingana na hali mbaya ya miundo mbinu .....
Mkuu wewe ndo unawajua Wakinga
 
Ndu ka unataka kuoa mkinga hapo unapatia ,ila kama wewe au nduguyo anataka kuolewa na hawa washenzi weka mbali na watoto.hupenda pesa kuliko chochote
 
Ndu ka unataka kuoa mkinga hapo unapatia ,ila kama wewe au nduguyo anataka kuolewa na hawa washenzi weka mbali na watoto.hupenda pesa kuliko chochote
Hahah mkuu kwan kupenda pesa vibaya?
 
Wakinga....I like them wanajua na wanapwnda kuitafuta pesa...ubahil wao hua unapelekea kuitwa wachwawi......Kama Una mpnz take him or her wako vzr
 
Wakinga tupo vizuri kila idara jamani.
Kwenye mapenzi wavumilivu, tuna heshima na adabu ya hali ya juu.
Kwenye uchumi ni watafutaji na tunabajeti nzuri sana hatuna starehe za kijinga , tunathamini kila shilingi tunayoipata.
Kwenye elimu saivi tupo vizuri tumeelimika tunasoma.
UCHAWI ni imani tu ambayo kila kabila upo, sio kweli kwamba tunatumia uchawi kwenye biashara ila ni kujituma na kuwa na nidhamu ya fedha.
OA AU OLEWA NA MKINGA KWA MAENDELEO YA FAMILIA.
 
Wengi mnadanganywa sana kuhusu Wakinga lakini kumbe hatuko hivyo.
Ila kweli hata mimi nimekuwa nikiwaogopa maana wanasema ni wachawi. Ila natambua kwamba wengi wako mbele sana kiuchumi ila huwa tunaambiwa wanapata utajiri kwa njia za uchawi. Kuna mtu mmoja eneo la Kinyerezi alisema walikuwa wananunua viwanja bila kuandikishiana lakini wanalipa na kusema tutaandikishiana nikirudi. Nasikia watu walikuwa wanawaogopa hakuna anayeweza kuwadhulumu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom