Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

Wakuu naaomba kujua tabia za Wakinga

Status
Not open for further replies.
kuna kabinti nimekapata maeneo hayo....
ngoja nigaili mkuu..

Yani utakuwa umepiga bakuli la dhahabu teke mkuu! Mwanamke wa ki Kinga Ni bora kuliko unavyo fikiria! Wachapakaz, wapole na Wavumilivu sana !kaka zangu wawili wameoa Wakinga ebwanaa eeh hawajawai kujuta! Ni wakarimu vibaya mno hao ma Shem ! Mi mwenyew Mwakani hivi lazima nikavute mkinga InShaLlah
 
Wakinga ni Mushirikina sn,, wanauchawi wao wanampa kuku punje za mahindi akila punje 10,,5,,3,,2,,1 au 7 hiyo ndiyo umri wa miaka utakayokuwa tajiri,,

Hawa jamaa utajiri wao sio ajabu kukuta Misukule madukani au majumbani mwao.

Kwao hao jamaa si ajabu mtoto kuzini na mama mzazi ili mrdi atimize masharti ya Uganga kusudi awe tajiri.

Tajiri wa kikinga usione anatembea pekupeku au kavaa yebo yebo zilizo choka mbaya ukadhani kapenda ni masharti ya mganga ili awe tajiri,,

Usione tajiri wa kikinga anashindia chai na mhogo wa kuchoma kutwa nzima bila kula chochote ukadhani hana pesa ni masharti ya mganga asile vyakula vzr,,

Usikutane na Mkinga njiani ukaambiwa huyu ndiye mmliki wa mabasi yooote ya........akiwa ktk hali ya uchafu uchafu ukamshangaa hivyo ndivyo kaambiwa na mganga wke awe hivyo.

Kwa tabia ni wazuri na wachapa kazi sn,, Mwisho Msomi pekee aliyewahi kutokea katika jamii hii ya Wakinga tokea kuumbwa kwa dunia hii ni mmoja tu,, Aliitwa TUNTEMEKE FIJO SANGA,,baada ya huyo jamii hii haijawahi kutoa msomi mwingine bali ina Matajiri wengi mmno.
 
Yani utakuwa umepiga bakuli la dhahabu teke mkuu! Mwanamke wa ki Kinga Ni bora kuliko unavyo fikiria! Wachapakaz, wapole na Wavumilivu sana !kaka zangu wawili wameoa Wakinga ebwanaa eeh hawajawai kujuta! Ni wakarimu vibaya mno hao ma Shem ! Mi mwenyew Mwakani hivi lazima nikavute mkinga InShaLlah

Kwa misifa uliyoimwaga....
sitasita kusema....nawewe ni mkinga mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom