Wakuu msaada wenu juu ya hili jambo

Wakuu msaada wenu juu ya hili jambo

Itakuwaje kama kipimo cha damu kwa mtoto kimekosewa?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ataipata very soon
Kuna jirani yetu alikuwa na mawazo kama ya mtoa mada sema yeye ilikuwa mkewe akijifungua mtoto awe na komwe na chogo hapo hakuna kelele kati ya watoto wake watano mmoja hakuzaliwa na komwe wala chogo ilikuwa kila anapoludi kwenye ulevi wake ni fujo kwa mkewe anamtuhumu mtoto sio damu yake sababu hana chogo wala komwe 😀😀😀😀
 
Kuna jirani yetu alikuwa na mawazo kama ya mtoa mada sema yeye ilikuwa mkewe akijifungua mtoto awe na komwe na chogo hapo hakuna kelele kati ya watoto wake watano mmoja hakuzaliwa na komwe wala chogo ilikuwa kila anapoludi kwenye ulevi wake ni fujo kwa mkewe anamtuhumu mtoto sio damu yake sababu hana chogo wala komwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kali
 
Back
Top Bottom