Wakuu msaada wenu juu ya hili jambo

Wakuu msaada wenu juu ya hili jambo

Utakufa sasa hivi.. unapimapima nini na wewe... Ebu tulia lea watoto. Unajitia presha kesho utaomba ushauri dawa ya vidonda vya tumbo
 
Pole Sana mkuu. Infact huyo it's impossible kabisa mtoto kuwa na AB wakati mama na baba ni O and B haipo na haitakuja kuwepo. Nikushauri tu mkuu mtoto sio wako ata ufanyaje sio wako . Ongea vizuri na mke atakuambia huyo mtoto ni wa Nani. Pole Sana hata ukienda kwenye DNA utapewa majibu ambayo yatalinda ndoa yako but ukweli utabaki kuwa pale pale. He/she is not ur kid.
Pole sana.
 
Thanks Mkuu,

Nakumbuka kuna kipindi serikali walitoa ripoti juu ya masuala ya DNA na ripoti ikasema kwamba asilimia kubwa ya watz wanalea watoto sio wao
 
Hamjambo waungwana,?naomba kuwasilisha maada.

Wakuu kuna jambo linanitatiza kidogo,Niko katika ndoa kwa miaka kumi sasa nikiwa na watoto wawili.

Kiufupi Mimi huwa napenda sana kujua afya ya familia Yangu,hivyo hunilazimu kupima Mara kwa Mara

Juzi nilienda kupima blood group(kundi la damu) ya katoto kangu ka pili ambako ni kakiume ,Mimi group langu la damu ni B+ wakati la mama watoto ni 0+ ,sasa mtoto yeye baada ya kupimwa ilionekana kuwa ni AB+,

Je wataalamu Wa haya masuala hili jambo linawezekana kwa wazazi kuwa na kundi tofauti la damu na mtoto wao?

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,

KWA NINI WAJIITA "Digba Sowey",
TUANZIE HAPO KWANZA,

KISHA NITAKUPA MAJIBU YA KISAYANSI!!!
 
Jaribu kumpima hospital nyingine pengine ukapata majibu tofauti. But O na B kuleta Ab sio sawa hiyo.
 
Jina hili nililipata toka kwa kitabu kinaitwa unanswered cries,ambapo kuna mwanamke anaitwa yah posseh ambaye ni ngariba Mkuu,hivyo ushujaa na matendo yake yakanifanya nijiite hivyo
MKUU,

KWA NINI WAJIITA "Digba Sowey",
TUANZIE HAPO KWANZA,

KISHA NITAKUPA MAJIBU YA KISAYANSI!!!
 
Back
Top Bottom