To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,585
- 39,112
Kiswahili tu cha vijana wakileo…kushindwa kumalizia neno mdada….au sita kuandika xta,…mxchana🚮Ninini maana yake mi nilidhani ni typo. 😌
Kiswahili tu cha vijana wakileo…kushindwa kumalizia neno mdada….au sita kuandika xta,…mxchana🚮Ninini maana yake mi nilidhani ni typo. 😌
Kijana nina hesima zangu hapa JF heshima kwanzaHaya mafala ndio yanazidisha watoto maskini duniani.
Yanazalisha kama panya.
Halafu kulea hayataki.
Ameen mkuuSigh... Kijana don't walk further and further the path of being a scumbag! Mwanaume unapaswa kuwajibika.
Usianze kukumbusha watu dhambi zangu basiUnaweza kushangaa mtoa mada ndio mtu wa kwanza kuwashambulia single mothers.
Thibitisha.Wakuu salamu....
Moja kwa moja ndani ya mada wakuu.
Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi.
Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila mimi nilimwambia hizo ni baraka mazee.
Sasa kama mwezi wa saba hivi hapo nyuma akaipata kweli kazi akashindwa kufanya kabisa maana ilikuwa ni mimba kisirani inataka kulala tu. sijui ndo nini yaani na mimi mwenyewe gafla boss kawa kapuku kiufupi kapoteza mali zote.
Sasa hapo mzigo mzima ukatua kwangu, gafla wakuu nimepoteza ramani na sina dira mazima hadi nashindwa kuelewa. Hapa nawaza nimtoloke tu huyu mshangazi nisepe zangu ubushini nikachunge tu mikia wakuu.
Mnanishauri nini hapa.
Una heshima, wakati unakimbia majukumu?Kijana nina hesima zangu hapa JF heshima kwanza
Nakaa nae mkuuMara kadhaa kabla ya kupata baraka kubwa. Unaweza kupata misukosuko kadha wa kadha. Ila ukivuka hiyo misukosuko. Huwa hiyo baraka inakuwa kwa namna hukuwez hata kudhania.
Je mnakaa na huyo Dada pika pakua?..au kila mtu anakaa kivyake.
Kwanamna yoyote ile. Usimkimbie huyo dada wa watu. Fikiria namna ingne.
Sasa wewe ni mtoa ushauri au ni mtangaza biashara ya mifumoBwana mdogo sizani kama kukimbia ni tatizo. najua ukikimbia atateseka na huo uja uzito, utamuongezea fedheha katika maisha yake, atajiona kama amelaaniwa, atatokwa machozi ya kukutakia mabaya.. akijifungua, ipo siku mtoto atamuuliza "Mama baba yuko wapi" atashindwa kumpa jibu sahihi, labda atamdanganya mtoto.
ipo siku utasema "damu yangu haipotei bure, nikamchukue mwanangu", hapo unakuta alishajitokeza mwanaume mwenzako amekaa na huyo mshangazi, amemenyenyekea na amemsaidia kumlea mtoto. hafu unajitokeza tu from nowhere unabana pua yako "Yule ni damu yangu naenda kumchukua"
kama unahitaji mfumo wowote wa shule, biashara , ofisi, basi nipigie hapa 0620224372 au whatsapp.
tembelea tovuti yangu uone mifumo iliyopo tayari BONYEZA HAPA
Zimekuwa chunguUnataka kuzikimbia baraka kiongozi?😃
Eeee naunga mkia hojaWe kimbia mzee nenda zako u boyzn ukachunge mikia.
Halafu mtoto hajawahi kumsahau baba yake atakutafuta tu akishajipata, watoto wana huruma sana na baba zao.
Na kumbuka single maza haolewi na akiolewa hakikisha unajua kaburi halisi la baba wa mtoto.
Na ni marufuku kuhudumia mtoto wa single mama!! na ukihudumia fanya kama unalea yatima.
AideeeAlikuwa anamzuga mshangazi ili arndelee kupewa k...ma bila kujua mwenzake yupo serious
Sasa kimemlamba anataka kukimbia sio baraka tena
SwateeHongera ba kijacho
Naunga mkia hojaUsikimbie mzee,isije kuwa Hali ya mazoea mwisho ukakimbia kivuli chako,sema ulikosea Sana kumuita mshangazi,ishi nae tu usiogope kuhadhilika
Unataka sample gan uaminThibitisha.
Sitaki kuamini, nataka kujua.Unataka sample gan uamin
Kwahiyo unataka nisote auUna heshima, wakati unakimbia majukumu?
We jamaa unashida gani na mimi, unataka nikupige mashine?Gunner11 mwambie dada yako,
Yote ya yote huenda huyu mwanamke anayeongelewa hapa aliwahi kuwa na kiburi kama cha dada yako,at the end MAJUTO NI MJUKUU.
Mimi ni msomaji tu.sutaki quote kutoka kwako.